Msaada: Soko la kanga (guinea fowl)

popiexo

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
742
195
Nimefuga kanga lakini sijapata soko zuri na la uhakika kiasi mpaka imebidi nipunguze uzalishaji wake. Mwenye kufaha soko naomba anijuze.
 

bluetooth

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
4,315
2,000
Nimefuga kanga lakini sijapata soko zuri na la uhakika kiasi mpaka imebidi nipunguze uzalishaji wake. Mwenye kufaha soko naomba anijuze.

Hawa jamaa wenye mabanda ya kuuzia kuku kienyeji kama pale breakpoint au ukonga wananunua

je unayo Mayai ya kanga?
 

mwidiwe

Member
Jul 22, 2014
19
0
Nahitaji mayai ya kanga mkuu, unayo na unauza bei gani. Je kanga unauza bei gani? Nahitaji kuanza kufuga.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom