Recent content by pope john

  1. pope john

    FULL TIME: Simba Sc 4-1 AS Vita | CAFCL | Mkapa Stadium

    Kabisa mkuu,,, mugalu huwa anajitajid na yeye kujitengenezea nafasi... ni vile tu haikuwa siku mzuri kwake
  2. pope john

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Bro nimejaribu kwa Samsung note 5 yangu ila imegoma... imesema not compatible
  3. pope john

    Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Poleni kwa majukumu ya kulijenga taifa. Ninaomba msaada wenu wa mawazo kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza. Moja: napenda kufahamu kwanza tofauti kati ya BODY SPRAY, PERFUME, DEODORAT. Kwa mkutadha huo napenda mnifahamishe nitumie kipi kati ya kimojawapo hapo juu. Tatu: Ili ujue...
  4. pope john

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nahitaji sumsung note 5 mpya, au sumsung j5, au S6 au A30s....mwenye nazo hizo anijulishe,, simba taifa kubwa
  5. pope john

    Tanzania: Mgonjwa kapatikana KIA vipimo vinafanyika Dar es Salaam, tulijiandaa kweli?

    Katika sekta ya afya kuna hospitali na maabara,, Hospitali haiwezi kukamilika bila kuwa na maabara lakini maabara inaweza kujitegemea yenyewe bila kuwa na hospitali. Hospitali ni sehemu ambayo hukusanyika wagonjwa wa aina mbalimbali wanaohitaji huduma za kiafya zikiwemo dawa, meno, maabara n.k...
  6. pope john

    Kwa wafugaji wa kuku wa mayai

    Aiseee basi wacha tugeukie fursa zingine
  7. pope john

    Kwa wafugaji wa kuku wa mayai

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  8. pope john

    Kwa wafugaji wa kuku wa mayai

    Habari wanabodi, poleni kwa majukumu. Lengo la kuanzisha uzi huu ni kutaka kufahamu kilichosibu soko la mayai ya kisasa. Kwa wale wafugaji wa kuku wa mayai watakuwa na kumbukumbu ya miaka yote ya nyuma ya kuwa bei ya mayai trei moja haikuwahi kushuka chini ya 5000. Lakini hali ilivyo kwa sasa...
  9. pope john

    Kuna wanaume wenye moyo wa upendo na Mungu awazidishie

    Hata mm ninaweza kutoa msaada kama huo,, ila sio kurudiana nae kimapenzi, mschana akikukataa jua hana hisia na ww na mimi huwa sipendi kulazimisha mtu ambae hana hisia na mm kwasababu mwisho wa siku atakuja kukumiza ujute maisha yako .....binafsi kumsaidia kulea mtoto hilo ningefanya sana tu ila...
  10. pope john

    Nimekamilisha upekuzi wa siku 30 kwenye simu ya mke wangu

    Naomba kufahamu ulitumia App gani hio?????
  11. pope john

    Kuharibika kwa Mimba: Fahamu Sababu, Kinga na Tiba za tatizo hili

    Poleni sana tena sana, ushauri wangu: kama alishawahi kumuona Gynecologist na bado hakupata nafuu basi nakushauri na usipuuzie ajaribu kufanya kipimo kinachoitwa Rubella Virus,, kipimo hiki hapa bongo hakipo ila kuna chanjo zake huenda hakuchanjwa .kipimo hiki unaweza kukipata LACENT LABORATORY...
  12. pope john

    Baba anunua ndege mbili bahati mbaya akitafuta zawadi ya Birthday

    Baba anunua ndege mbili bahati mbaya akitafuta zawadi ya Birthday Baba mmoja nchini Saudi Arabia amenunua ndege mbili aina ya Airbus A350-1000 kwa bahati mbaya, wakati akitafuta zawadi ya Birthday ya mwanae mtandaoni. Bilionea huyo anayefanya kazi katika Wizara ya Nishati nchini humo...
  13. pope john

    TBT: Mnawakumbuka hawa jamaa..?

    Hizi hadithi zimenikumbusha mbali sana, hivi watoto wa siku hizi wanasoma nini??
Back
Top Bottom