Kilio upinzani: JK leo kupokea vinara wengine
2007-01-10 16:43:47
Na Mary Wejja, Jijini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, CCM, Bwana Jakaya Kikwete, leo anatarajiwa kupokea vinara waliotimka kutoka vyama mbalimbali vya upinzani...