Recent content by pongai

  1. P

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa upinzani na kupeleka hoja bungeni kupendekeza kuwepo na kipengele kinachozuia Mbunge anayejivua Ubunge

    Wabunge wanao jitoa ubunge kwa hoja ya kuuga mkono rais ni wavivu wa kufikiri tu!
  2. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matapeli mtandaoni! Soma hapa na ww usije ukaingia mkenge...

    Kaka mimi niko hapa senegal ,nipe adress ya huyo wakili nimtafute! tumalize mchezo! ni matapeli tu hao wala usihagaike.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Nataka kurudi uongozini kuiondoa CCM 2020

    Maprof wa bongo jamani yaani wanatia kinyaa kabisa!
  4. P

    JamiiForums Tanzania Ndege ya abiria kubwa na ndefu kuliko zote duniani yaanza safari zake

    Ndege la ndege ya mizingo! siyo ya abiria!
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mugabe apigwa kibao na mkewe hadharani

    Nauliza mugabe huyu huyu au? maana mugabe ninaye mfahamu hawezi kukubali kupingwa kubao hadharani
  6. P

    JamiiForums Tanzania Wanaomuunga mkono Lady Jay Dee

    hawana lolote wanatusingua tu !
  7. P

    JamiiForums Tanzania John Mnyika ndani ya Kikao cha Kamati kuu kinachoendelea

    Dr slaa jamani vipi kwenye hicho kikao mbona haonekani?
  8. P

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Mimi kwangu ,magufuli,amina salim ally ,January makamba. ila wadau siye tulio mbali tunafuatiliaje? je kuna mtandao wowote uko online?
  9. P

    JamiiForums Tanzania sikia hiiii

    hahahah! hiyo kali
  10. P

    JamiiForums Tanzania Nilikosea sana kumkosoa kaka yangu alowahita CHADEMA genge la wahuni

    wewe huna hoja ndiyo wale wale tu! magamba!
  11. P

    JamiiForums Tanzania Mtambo wa kurusha matangazo ya bunge DOM nini tatizo?

    TBC haona kitu hao hovyo kabisa!
Back
Top Bottom