Mugabe apigwa kibao na mkewe hadharani

Mugabe apigwa kibao na mkewe hadharani

yaelekea walinzi wake walivyoona Mzee kapigwa kofi. Mzee akawambia mama Alikua ananipangusa Vumbi.
 
Nauliza mugabe huyu huyu au? maana mugabe ninaye mfahamu hawezi kukubali kupingwa kubao hadharani
 
Nimekumbuka ya nchee Nkapa. Nchee anatembelea mkwaju hadi leo
 
Simba kasha kuwa mzeee......anachezewa sharubu na swalaa........dadek hv kaz ya mlinz wa mugabe si kumlinda mugabe.....mm nngekuwepo hapo km mlinz nngedaka hilo kofi......maana nitakuwa nmetimiza wajibu wangu na vilevile nmelinda heshima mwanaume..........

Mugabe pumzika kamanda..ushajichokeq
 
Grace Bashes President Mugabe Story Hoax
4th May 2016
Grace-Mugabe-and-Emmerson-012.jpg

A story claiming First Lady Grace Mugabe recently beat up her husband, Robert, is a malicious hoax, ZimEye.com can reveal.

The story was written and published by a journalist, John Chimunhu, who further to the falsehoods, has no evidence at all for his claims.

The story was written and published by a journalist, John Chimunhu, who further to the falsehoods, has no evidence at all for his claims.
john_chimunhu.jpg


ZimEye.com can reveal Mr Chimunhu, a serial content fabricator, has been kicked out of every media house he supplied news to for reporting malicious falsehoods.

Chanzo
 
Mugabe hana tatizo na bi Grace..itakuwa huyu mzee ana tabia za Gadner in 40 yrs of being with her
 
kama tuliona picha Uncle Rob akianguka wakati mwingine alikosea speech, tusingeikosa hii ya kuchapwa kibao na mkewe. Bado siamini wakuu. Hajachezea kichapo.
 
ninajiuliza hapa kama Mugabe ndo angempiga kofi mkewe hivyo hadharani hivi ingechukuliwaje au kuonekanaje?

yangekuwa kama yale ya Gadna kwa Jide
 
Hii imetudhiirishia anayeongoza Zimbabwe ni nani. Nukta.
 
WATU WA KARIBU WANADAI siku hizi Bob anasumbuliwa na mambo makubwa mawili, la kwanza ni usingizi na la pili ni..
 
Back
Top Bottom