Recent content by Polonium

  1. Polonium

    JamiiForums Tanzania Msanii Moni Centrozone 'amwaga chozi' live kwenye XXL

    Bongo flava hakuna kitu kazi yao ni copy and paste nyimbo za magharibi,wasanii hata kushika gitaa hajui na bado wizara inawatazama tu wanaiga nyimbo za mabwanyenye utamaduni wetuu uko wapi ???
  2. Polonium

    JamiiForums Tanzania Shikamooni Simba SC na hasa hasa Msemaji Haji Manara kwani leo ndiyo nimeamini kuwa kwa Ndumba Simba SC inaongoza nchini

    Upo wapi baada ya matokeo na utabiri kanjanja ?
  3. Polonium

    JamiiForums Tanzania Gadiel Michael vs Tshabalala: Mpira ni nyota

    Dharau ilikuwa kubwa sana kwa timu pinzani !
  4. Polonium

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Simba SC 2019/2020

    Katika usajili watu waangalia10%
  5. Polonium

    JamiiForums Tanzania Vodacom tutendeeni haki wateja wenu. Mnapandishaje Cost 25% kimya kimya bila kutujulisha? Huu sio wizi wa mchana Kweupe? TCRA mnalijua hili?

    kweli mamlaka zimelala juzi naibu waziri mawasiliano na yy analalamika bei ya kuongea kwa simu dkk moja ni Tsh 10.40/= lakini airtel na wengine ni Tsh 60/= kwa dkk, imagine anashindwa kuchukua hatua !
  6. Polonium

    JamiiForums Tanzania Simba sio timu tajiri

    Dewji hajafanya uwekezaji wowote mpaka sasa na anakiri hivyo na kusema wazi pesa anatpa mfukoni na sio ya uwekezaji, muwe mnafutilia sio kupiga piga kelele tu
  7. Polonium

    JamiiForums Tanzania Zahera siku zako zinahesabika

    Usitetee uovu !
  8. Polonium

    JamiiForums Tanzania Simba sio timu tajiri

    Hili suala la kutumia hela ya mfukoni kuendesha timu CAF hawana sheria inayothibiti suala hili kama UEFA ?
  9. Polonium

    JamiiForums Tanzania Nimeshuhudia moto Mkubwa uliotokana na jiko la gesi leo.

    Congratulations !
  10. Polonium

    JamiiForums Tanzania Kitendo nilichomfanyia huyu muuza samaki Ferry hatokisahau kamwe

    Kwa hili stress zangu zimekata !
  11. Polonium

    JamiiForums Tanzania Chata kali ya jezi au viatu vya michezo

    Washauri TFF na vilabu vya Tanzania waachane na uhlsport, sijui wanakwepa nini kuvaa brand za nike, puma, adidas etc
  12. Polonium

    JamiiForums Tanzania TFF mdhamini ligi kuu 2019/2020 vipi?

    ,????????,!!!!!!!!!
  13. Polonium

    JamiiForums Tanzania Lamination mizigo airport Mwanza, ufisadi mpya

    Good!
Back
Top Bottom