Zahera siku zako zinahesabika

Zahera siku zako zinahesabika

Barca Jana kafa La Liga..mpira una matokeo katili
 
Nyoso na ngai ekolo nzambe masusu ekoteee, bolingo na kipateo!!
Alisikika mwinyi zahera
 
mtu chake we shabiki wa Yanga umekuwa kimya sana mkuu,,

Najua unaumia vile Zahera anavowapeleka peleka,, [emoji16][emoji3][emoji23]
 
Kila kukicha ww lawama wachezaji umesajili ww mwenyewe halafu unawalaumu nilishangaa sana mechi ya jana na polisi Unawapa lawama wachezaji hivyo ndo ulivyowafundisha sababu nyingine eti uwanja hv polisi walikuwa uwanja wa taifa au wanayanga huyu jamaa kiburi kimezidi anaifanya yanga kama timu yake kila siku eti anajenga physic ya wachezaji hakuna hata Timu kubwa ambayo umepata matokeo zaidi ya penati wanayanga tunataka matokeo hatutaki maneno
Ile pesa anayowadai alishalipwa?
 
Zahera sio kocha

Huyu jamaa ni kocha wa kulalamika! Wachezaji waliosajiliwa karibia wote amewapendekeza mwenyewe, lakini bado analalamika hawamfai!

Amechelewa kujiunga na kambi kwa sababu zake binafsi, leo viongozi wameona wamsaidie kutafuta mechi sahihi za kirafiki ili kutengeneza chemistry nzuri ya timu, bado anatoka hadharani anawalaumu viongozi kwa maamuzi hayo!

Ningekua mimi ndiye Dr. Mshindo Msolla, ningempa mechi moja tu ya marudiano na Township Rollers! Angeshindwa tu kuwafunga, ningepata kisingizio cha kumfyekelea mbali.
 
Kote huko.mbona mbali sana? Kocha hovyo sana huyu yani anatakiwa afyekelewe mbali hata sasa hivi
 
Back
Top Bottom