Haji manara pamoja na mashabiki wa Simba wamekuwa wakisema Simba ni tajiri sio kweli Simba ni tajiri Bali inamwekezajj tajiri team tajiri inapimwa kupitia account ya bank inasemaje na namna ambavyo inajiendesha yenyewe Bila kutegemea hela za mwekezaji au wafadhili gharama hizo zinaweza zikawa kulipa mishahara,kulipa malazi ya wachezaji pamoja na benchi la ufundi, usajili n.k je Simba Ina pesa hizo zakifanya haya Bila pesa za mwekezaji au wafadhili?mfano team Kama Esperance ndio team ya mfano mzuri hii team ndio unaweza kusema ni timu tajiri cos inasponsors 13 Ina inapata hela nyingi kupitia caf champion league cos inakuwaga inafanya vizuri Sana lakini ligi yao mshindi wa trophy anapata hela nyingi, ni ligi ya pili ambayo bingwa wa ligi anapata hela nyingi ukitoa ligi ya sa.Ni team yenye uwezo wakujiendesha Bila ya pesa ya mwekezaji.
Ushauri wangu kwa team za Tanzania ifike mahali zitengeneze vitega uchumi vingi kwa manufaa ya club zao ili ziwe na power kuliko wawekezaji au wafadhili ili hata wafadhili au wawekezaji wakiondoka mnakuwa mnauwezo wa kujiendesha tofauti na Sasa mwekezaji au mfadhili akiondoka team inageuka kuwa ombaomba.