Recent content by Political Engineer2

  1. P

    JamiiForums Tanzania Washikaji tafuteni marafiki wa kike

    Ni vizuri ukatafuta mbaya mbaya
  2. P

    JamiiForums Tanzania Nimechukua mkopo benki, naomba ushauri katika namna niliyopanga kuutumia

    Nyakati hizi watu madeni hawalipi
  3. P

    JamiiForums Tanzania Nimechukua mkopo benki, naomba ushauri katika namna niliyopanga kuutumia

    Naona mnataja IST bila kusema mnamaanisha new au old model
  4. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ununuaji wa magari

    Naomba kuuliza,kwa IST old model katika hali ya kawaida inakunywa mafuta kiasi gani per km? Maana naona kama yangu inazidi Sent using Jamii Forums mobile app
  5. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi bingwa wa AC za Magari

    Sawa boss ngoja nichangamke Sent using Jamii Forums mobile app
  6. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi bingwa wa AC za Magari

    Wakuu hapa mjini mafudi wa Ac za magari ni wababaishaji,ukipeleka hakatai ila anajaza gas basi kesho yake tatizo linajirudia. Naomba kujua nani BINGWA wa AC za magari hapa jijini Dar hata kama being yake iko juu ilimradi anipe Warrant baada ya kuitengeneza. Tafadhali nawakilisha Sent using...
  7. P

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA FUNDI A/C ZA MAGARI

    Wakuu hapa mjini mafudi wa Ac za magari ni wababaishaji,ukipeleka hakatai ila anajaza gas basi kesho yake tatizo linajirudia. Naomba kujua nani BINGWA wa AC za magari hapa jijini Dar hata kama being yake iko juu ilimradi anipe Warrant baada ya kuitengeneza. Tafadhali nawakilisha. Sent using...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Pamba gari yako na Muba sound

    Hupatikani kwenye simu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. P

    JamiiForums Tanzania GARAGE YA SOUND

    Hapa kuna Uzi wa garage inajitangaza kupamba gari yako kwa kuweka vitu mbali mbali,kama sikosei inajiita Sound. Nimetafuta Uzi wao umekosa naomba wanitafute nawahitaji kama wapo Sent using Jamii Forums mobile app
  10. P

    JamiiForums Tanzania Nauza Dawa Za Chooni Nakuletea Mpaka Ulipo

    Kama inaweza kuua mende tuwasiliane Sent using Jamii Forums mobile app
  11. P

    JamiiForums Tanzania YARD YA MAGARI WAAMINIFU

    Hapo ndipo shida ilipo MTU anauza kitu kipya lakini inakulazimu kwenda na fundi kana kwamba unamvua MTU mikononi Sent using Jamii Forums mobile app
  12. P

    JamiiForums Tanzania YARD YA MAGARI WAAMINIFU

    Hiyo iko wapi mkuu kesho nimtembelee Sent using Jamii Forums mobile app
  13. P

    JamiiForums Tanzania YARD YA MAGARI WAAMINIFU

    Siku hizi ni miezi 2+ na uvumilivu huo sina Sent using Jamii Forums mobile app
  14. P

    JamiiForums Tanzania Wiki ijayo nataka nifunge ndoa kimya kimya

    Umeamua kutoa Ajira kimya kimya bila kutangaza? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. P

    JamiiForums Tanzania YARD YA MAGARI WAAMINIFU

    Tanzania bado tunakumbwa na tatizo la uaminifu katika magari. Mtu anaagiza magari ya kuuzwa lakini anaanza kuyachezea Mara atoe radio Mara abadilishe engine nk. Naomba kama mwenye kujua ninapoweza kupata IST ya kwenye Yard ya magari ambao ni waaminifu. Tafadhali nipe uelekeo. Sent using Jamii...
Back
Top Bottom