Nyankuru Wankuru
JF-Expert Member
- Apr 22, 2018
- 1,199
- 1,349
Wakuu wa kazi wiki ijayo kijana wenu naagana na usinia bachala .
Sitahangainga kuchangisha michango kutoka kwa wadau. Uzuri mke mtarajiwa kasema yeye anachohitaji ni upendo tu. Hayo masuala ya mbwembwe yeye kwake sio kipaumbele.
Yaani nataka huku mtaani kwetu mtu yeyote asijue kabisa .
Yaani watashangaa ninachombo ndani ya mjengo wangu mpya.
Sent using Jamii Forums mobile app