Natafuta fundi bingwa wa AC za Magari

Natafuta fundi bingwa wa AC za Magari

Political Engineer2

Senior Member
Joined
Feb 23, 2018
Posts
149
Reaction score
117
Wakuu hapa mjini mafudi wa Ac za magari ni wababaishaji,ukipeleka hakatai ila anajaza gas basi kesho yake tatizo linajirudia.

Naomba kujua nani BINGWA wa AC za magari hapa jijini Dar hata kama being yake iko juu ilimradi anipe Warrant baada ya kuitengeneza.

Tafadhali nawakilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda fire....kwenye mataa pale unakunja kama unaelekea msimbazzi,upande wa yard ya magari,we ulizia mafundi Ac kna mzee mmja anaitwa sengelimo....yuko vzuri!

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu hapa mjini mafudi wa Ac za magari ni wababaishaji,ukipeleka hakatai ila anajaza gas basi kesho yake tatizo linajirudia.

Naomba kujua nani BINGWA wa AC za magari hapa jijini Dar hata kama being yake iko juu ilimradi anipe Warrant baada ya kuitengeneza.

Tafadhali nawakilisha

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama unatokea Akiba kwenda Posta, baada ya chuo cha CBE pale barabarani kona ya kwanza kushoto nedna nayo hiyyo kuna garage moja pale ya Mhindi anatengeneza AC vizuri sana na kwa uhakika. Ila bei zake zimesisma.....ni haki

Ukitokea Kinondoni Makaburini, kama unaelekea Mwananyamala (jirani na Hugo House), opposidte na soko la "ma-TX" kuna dogo mmoja anaitwa AMANI. Ni fundi mzuri sana. Hakikisha yeye Amanai mwenyewe ndiyo anakagua gari lako na kutengeneza.
 
Back
Top Bottom