Pamba gari yako na Muba sound

Pamba gari yako na Muba sound

KUMRADHI PIA KWA WALE WALIONOTAFUTA KWA NAMBA YA 0678216352 ILIKUA NA MATATIZO YA KIMTANDAO ILA ITAKUA HEWANI BY NEXT WEEK NAPATIKANA PIA KWA NAMBA 0679242855

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1074951


Hizi bei gani? je zina fit katika Toyota Ist
 
Hizi ni 50000 mkuu, nakufanyia pamoja na ufundi, pia zinakaa mbele kwenye toyota IST
 
Hizi ni 50000 mkuu, nakufanyia pamoja na ufundi, pia zinakaa mbele kwenye toyota IST
50000 tu mkuu,
Hii ni pamoja na ufundi

Na pia zinakaa mbele kwenye toyota IST
 
HOT...HOT....HOT....

TUMEANZISHA HUDUMA MPYA YA KUSAFISHA NA KUZIRUDISHIA MNG'AO WAKE WA UPYA TAA ZA MAGARI KWA KUTUMIA MASHINE YA TEKNOLOJIA YA KISASA YA J-xrt vapour

KARIBUNI SANA!!!!!
 
Tunatoa huduma ya kusafisha taa za magari kwa kutumia mashine maalum


Karibuni sana
images-1.jpg
 
Naweza pata redio ya hapa ktk hii spacio nataka redio ya kawaida sina makuu Mimi...nitajie Bei...

Nasisitiza yakawaida sana
 

Attachments

  • IMG_20190515_165539.jpg
    IMG_20190515_165539.jpg
    135.1 KB · Views: 29
Back
Top Bottom