YARD YA MAGARI WAAMINIFU

YARD YA MAGARI WAAMINIFU

Political Engineer2

Senior Member
Joined
Feb 23, 2018
Posts
149
Reaction score
117
Tanzania bado tunakumbwa na tatizo la uaminifu katika magari. Mtu anaagiza magari ya kuuzwa lakini anaanza kuyachezea Mara atoe radio Mara abadilishe engine nk.

Naomba kama mwenye kujua ninapoweza kupata IST ya kwenye Yard ya magari ambao ni waaminifu.

Tafadhali nipe uelekeo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta mtaalamu wa magari,nenda yard yoyote utapata kitu unachokiitaji;hata kama kitu ni kipya vipi ukaguzi ni muhimu kabla ya kukinunua.
 
Tanzania bado tunakumbwa na tatizo la uaminifu katika magari. Mtu anaagiza magari ya kuuzwa lakini anaanza kuyachezea Mara atoe radio Mara abadilishe engine nk.

Naomba kama mwenye kujua ninapoweza kupata IST ya kwenye Yard ya magari ambao ni waaminifu.

Tafadhali nipe uelekeo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa staili hii umasikini hautaisha. Mtu akiamka anawaza aibe tu
 
Back
Top Bottom