nawapongeza polisi wetu kwa kujitahidi kuweka amani kwani chadema huwa awtaki amani,
polisi ndio professanal yao kama ambavyo wewe unaitwa Mhasibu , wakili au daktari yeye anaitwa polisi , big up polisi napenda nisikie kutoka kwenu kuwa jeshi la wananchi pia wamekuja kuongeza nguvu.
ongereni...
Kwahili la kupandisha bei ya mafuta ya taa nadhani serikali ilikulupuka, nasema ilikulupuka kwa sababu sababu walizotuambia wanapandisha bei ya mafuta ya taa ni kutokana na uchakachuaji,
kama sababu ni uchakachuaji ni kweli serikali yetu imeshindwa kuwadhibiti wafanya biashara wa chache sana...
SIO MBEYA PEKEYAKE TANGA NIMEAMBIWA WAMEGOMEA KUUZA PETROL KWA ZAIDI YA WIKI MOJA SASA , WAO WANAUZA DIZELI PEKEYAKE ISIPOKUA KITUO KIMOJA TU CHA GBP,
WAKIAMBIWA WAPANDISHE BEI UTAONA KUANZIA SAA SITA USIKU ZIMEPANDA, WAKIAMBIWA WASHUSHE WANADAI WANAPATA HASARA, kwani hawa wamiliki wa vituo vya...
awa ni mashetni wa kizungu, wanaona haki za kibinadamu ni kufanya mapenzi ya jinsia moja!!!!
wametuibia mali asili zetu alafu sasaivi wanasema wanatusaidia,
ni bora kufa masikini kuliko kukubaliana na izi sheria za kishetani ambazo sio utamaduni wetu kote afrika.
KWA WASIOJUA TANZANIA...
Kanali muamar al gadaffi aliweza kutumia rasilimali moja tu ya mafuta ambayo wamepewa wananchi wa libya kuweza kupandisha uchumi wa libya maradufu, ela ya libya ilikuwa inatofautiana sikuzote kwa kiasi kidogo sana na dola ya marekani, yeye sera yake alikuwa sikuzote anataka mafuta yabadilishane...
Jamani viongozi wa dini nia watu ambao tunawaamini sna sisi waumini lakini siku izi tunanza kuwa na wasiwasi nao , si ndio hawahawa waliokutana jangwani mwaka 2005 na kutuambia kikwete ni chaguo la mungu, wao wanatufundisha utakatifu wa mungu na sisi tunaamini kuwa mungu awezi kukosea je uyu...
Unajua wanachokifanya wzungu ni u freemason, hawana dini kama ambavyo wanajitangza, wamewashinikiza waasi wachache wa gadafi ambavyo hata hapa tanzania wapo wanayoipinga selikali yetu sasa ili kufanikisha adhma yao wanashikilia vyombo vyote vya habari na kueneza propaganda kuwa gadafi akubaliki...
we love and our hope to see you again in the coming parliament session .
we will not understand your enemies if any thing bad will happen to you.
WE LOVE YOUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
Papaa kama upo siliazi na kutafuta kazi basi inabidi ushukuru kwa kupewa link ni jukumu lako mwenyewe kutafuta, lipa hata buku uingie internet cafeee. Kwani unalaumu kwa uyo anaekusaidia kukupa linki wewe unamlipa nini na hata akujui kwanza then anakusaidia wewe unamlaumu.
Inaonekana hata...
ongera sana papaa kwa kutambua kuwa hao ni matapeli, mimi maranyigi nakutana na maseji za kitapeli ivo kwenye mail yangu marazote wanadai wao ni wakimbizi wa DAFUR, LIBYA ,ICORY COST AU SOMALIA NA WAPO UKIMBIZINI SENEGAR ILA BABA ZAO WAMEULIWA KNY VITA LAKINI WALIKUWA WANAMILIKI MAKAMNPUNI ETI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.