NSSF wameshaita wa2 kwenye interview? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NSSF wameshaita wa2 kwenye interview?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by mtaratibuuuuuu, Oct 31, 2011.

 1. mtaratibuuuuuu

  mtaratibuuuuuu Member

  #1
  Oct 31, 2011
  Joined: Aug 17, 2009
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tafadhali kama kuna m2 yeyote mwenye taarifa za interview ya NSSF tafadhal naomba anijuze
   
 2. U

  Uyole12 JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2011
  Joined: Oct 3, 2010
  Messages: 586
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kaka vumilia kazi si rahisi hivyo umeapply juzi 2 leo unataka uitwe kwenye interview inabidi uhesabu mwezi miwili au mmoja na nusu hivi ndio ukumbuke kuwa kuna interview.
   
 3. M

  MWENDAKULIMA JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2011
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 961
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35

  Serengeti boys at work.
   
 4. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  N.S.S.F wanachelewa sana kuita watu vuta subra kidogo.
   
 5. P

  POLITE MAN Member

  #5
  Oct 31, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakumbuka mwaka 2008 nssf walitangaza nafasi za kazi mwezi wa nne (4) tuliitwa kwenye interview mwezi wa tisa (9).
   
 6. UKWELIWANGU

  UKWELIWANGU Member

  #6
  Oct 31, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kk vuta subra kwen subra huleta heri. kwa hakika hauko peke yako tupo wengi hivyo ninauhakika kuwa pindi tu majina ya waliochaguliwa kwa ajili ya interview yakitoka wana JF bila shaka watatujuza.
   
 7. U

  Uyole12 JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2011
  Joined: Oct 3, 2010
  Messages: 586
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Nina degree ya hii ki2 usishangae nilifundishwa communicatiom skills ndo naaply. Umesikia Taifa sta.
   
 8. t

  thesolomon Member

  #8
  Oct 31, 2011
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka kwa hizo nafaci sahau kabisa fanya kama hujaapply ,zinachukua mda mrefu sana ,ni zaidi ya miezi mitano ndo wanaweza kuita labda utaratibu wao ubadilike saivi lakini sidhani kwani ndo kama formula yao na wakishaita written interview,unasubiri tena miezi miwili ndo wanaita oral ambayo ndo final ,hata hivyo apllication zimekusanywa kwa viroba .
   
 9. s

  sirmudy JF-Expert Member

  #9
  Oct 31, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35

  Mm sishangai mkaitwa mwakani katika miezi kama hii....., kwani kuna sehemu serikalini niliomba kazi mwaka jana mwezi wa 10, nikaitwa interview ya mwanzo mwezi wa 7, na ya pili mwezi wa 9 mwishoni na bado nasubiria interview ya tatu.

  Tuwe na subira na kazi za serrikalini, kama una inshu ya tempo yoyote bora ukafanye ili upate pesa ya application, nauli na kununua package ya net kila wiki kuliko kusubiria , coz zinachukua muda sana.

  Nawasilisha mdau.....!
   
 10. mtaratibuuuuuu

  mtaratibuuuuuu Member

  #10
  Oct 31, 2011
  Joined: Aug 17, 2009
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahsanteni sana wadau kwa maoni yenu,
   
 11. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #11
  Oct 31, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Tuliza mawazo,si za juzi tu hizi?
   
 12. b

  babaAbby Member

  #12
  Oct 31, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lakini wadau mbona kuna rafiki yangu wa kike ameshaajiriwa Week kama 2 au 3 zilizopita....Kamlete
   
 13. U

  Uyole12 JF-Expert Member

  #13
  Oct 31, 2011
  Joined: Oct 3, 2010
  Messages: 586
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  kakudanganya anapiga field 2 usiogope.
   
Loading...