Gadaffi alistahili kusokomezwa kijiti cha makalio kweli?

Watz bana...................

 
Last edited by a moderator:
Astakafulah, now Gaddafi became saint? I think it was worth it, and thanks to Allah, he is in Akherah enjoying the promised virgins. Opps, "MY PEOPLE LOVE ME". That is love.
hata kama ni nani ubaya haulipwi kwa ubaya... kuweka kijiti matakoni haikuwa sahihi
 
Nasikia sababu halisi za watu wake kumchukia ni kitendo cha gadafi kuwakaribisha waafrica weusi kuingia libya, pamoja na kutaka kuunganisha africa. Ndo maana waafrica weusi wote wameshakimbia na wengi wameuwawa wakati huu. Raia wake wanaona kama utajiri wao wa mafuta wanafaidi waafrica weusi nk kupitia misaada ya gadafi katka nchi zengine.
 
I completely don't believe if Gadaffi was innocent. But how do we differentiate and justify .. we are not at the same energy level? Do him all the evil beyond his own state? ... Inst this the extension of what isn't right for humanity!!? ...AND In fact to be in agreement of what we think he did wrong!!
 
Something is always better than nothing. At least he felt some pains. You know what his wife did to that poor Ethiopian girl. I mean how long will the world spare these kind of people? I just can't compromise and say he was good or whatever, he was not, I am happy for him and his family.

He needed the thrust, even more than that, they should have used a gun or something to thrust his behind, and whoop him so bad. You don't know how it feel when you lose your love ones through a miniacusbug, it is very pain full. Just remind yourself what they did to Whosain of Iraq, I wish he got that too. These set of people don't learn, they don't. I just can't comprehend them, why is it so hard for them to learn? Please JF, somebody has to help me on that. He should have known better, that, you can not fight the world. See where he at now!!!

Thanks guys(ashadii,jew)thro your posts I came to fully understand the man-jack of conflicting personalities -a patriot ,a donor,a tyrant,the dictactor,the last two in my view are dominant.
 
Unajua wanachokifanya wzungu ni u freemason, hawana dini kama ambavyo wanajitangza, wamewashinikiza waasi wachache wa gadafi ambavyo hata hapa tanzania wapo wanayoipinga selikali yetu sasa ili kufanikisha adhma yao wanashikilia vyombo vyote vya habari na kueneza propaganda kuwa gadafi akubaliki libya, kwa wale waliokuwa wanafuatilia libya kulikuwa na mamilioni ya walibya waliandamana green squire kumuunga mkono gaddaf lakini hakuna cnn, bbc wala al jazeera kuonyesha habari zile.

Gaddaf ni shujaa wa afrika aliekuwa amebakia kwa yeyote anaekataa au kukubali. Sasaivi tumebakiwa na shujaa robert mugabe na mandela, wengi wao waliobakia ni vibaraka ambao wanasaidia kuurudisha ukoloni wa kizungu ambao kina kwame nkuruma, nyerere. Mandela, kenyata n.k walipigania kuuondoa apa afrika wao wanaurudisha.

viva gaddaf
 
Wakualaimiwa ni hao jamaa wa ntc-specific hao waliofanya hicho kitendo tu,si wote
 
Heshima kwako AshaDii.

Naomba unipe sababu wao moja ni kwanini tukio hilo lisinasibishwe na uIslam ?.


Ngongo heshima kwako pia...

Mkuu sipendi watu wana ni-quote wanauliza then anasepa, hii mara nyingi inatokea... if you promise kwamba na mimi nitakuuliza the same question na utajibu then nitakwambia why... OR Better yet anza wewe kwanini unaona lihusishwe....
 
maelezo ya pande zote mbili hayalidhishi hadi sasa,kama gaddafu ni mwovu au mwema..we need more explanations..
 
Hata mnyama hastahili kufanyiwa alichofanyiwa Col. Ghadafi, tena hadharani.

Imagine your father in such humiliation kisa maagizo ya NATO-Rebel regime?

RIP Colonel Ghadafi.
 
hakuna mwenye haki hata mmoja chini ya jua..........hata huyo bush ameuwa wangapi? au ametesa wangapi? au akiua mwingine in a sound tofauti na akiua mwingine? hata kama gadafi alikuwa hafai...vyombo vya mshtaka vipo na hukumu juu ya makosa ya aina yake ipo kwanini hawakutaka kusuburi hilooooo kama wao wanahaki?

Nilishangaa sana kuona kameuni na sost wake obama wanashangilia kifo....wala hawasemi kuwa angekamatwa na kupelekwa mahakamani as if hawajui kama mahakama walizoweka the hague kazi yake ndio hiyo. Gadafi amekosa sawa....je mimi na wewe tuna usafi upi? dhambi ni dhambi tu mbele za MUNGU haijalishi perception ya kibinadamu ya uzito.....

Mimi sio gadafi' s fun, na wala sikuwa na kamwe sitakuwa ila namuangali gadafi as humani being...sijaona ubaya wa ajabu alioufanya chini ya jua kuliko hao wengine wanafanya mabaya kwa jina la kujenga demokrasi duniani.......bado tunasokomezwa vijiti na wale wale waliowasokomeza baba zetu ila kwa sasa wanatusokomeza in direct 'kupitia NTC'......

mix with yours
 
Sioni kwa nini watu mnamuonea hurumu huyo dikteta.

Jitu limekaa madarakani miaka 42! Mnadhani lilikuwa likarimu? Mbona hamna hata mmoja kati yenu nyie mnaolionea huruma mlioonyeshwa kusikitishwa na watu waliopotea na kuteswa chini yake?

Halafu hiyo ilikuwa ni vita. Sasa sijui nyie mnategemea kama Gadaffi na washirika wake wangewakamata hao waasi wangewatendea vizuri? Sijui mnadhani wangewapa maziwa na asali halafu waanze kupiga nao stori?

Alikuwa na fursa nyingi sana za kuachia ngazi kwa hiari yake na kubakiza heshima yoyote ile aliyokuwa nayo. Lakini hakufanya hivyo. Sasa sijui alitaka afie madarakani?

Well, that's what happened. Sort of. Now read and weep.
 
Hiyo ndiyo Libya bwana tena wameanza na SHARIA,Mungu atupe uzima tu wa kushuhudia yatakayojiri.
 
Gaddafi Sexually being abused by The Rebels - YouTube

PAMOJA NA UASI NA UBAYA WA GADAFI JE NDUGU ZANGUNI WASILAMU ALISTAHILI KUINGIZWA KJITI MAKALION KWELI??
NAKAMA NDIO JE AMUONI KUINGIZAA UUME NI KAZI RAISI SANA KAMA KIJITI KINAINGIZWA KIRAHISI HIVYO
EMBU TUNGUZANGUNI TUWE NA HURUMA YA MWENYEIZ MUNGU KUMZALILISHA MTU HIVI SI UUNGWANA KABISA
KAMA UNAMUINGIZA MWANAUME MWENZIO MKEO TUNA UHAKIKA GANI ANA UWEZO WA KUPONA KUIINGIZWA UUME SEHEMU YA MAKALIO

TUBADILIKE JAMANI EMBU NJOONI MTUDAIDIAJE SABABU ZA KUMUINGIZ AKIJITI MZEE WETU MAKALIONI NA SI KWENYE MASIKIO
sasa wewe lazima utafakari ari waliyokuwa nayo wapiganaji waasi
inadaiwa gadaff alipokuwa amekamatwa alikuwa anauliza what is wrong, what is wrong kana kwamba hajui nini kinaendelea Libya jambo lililowaudhi waasi wakaamua kumfanya vile.
Gadaff amevuna alichopanda, amekufa kwa aibu na kafanyiwa ushenzi aliostahili
 
Back
Top Bottom