Recent content by police

1. P

Waziri kujieleza Kamati ya Bunge:Mrema kumwona JK wizi halmashauri:Hesabu Benki ya Posta zakataliwa

kweli mrema kiboko, haogopi mafisadi...kweli yeye ni JEMBE anasonga mbele.
2. P

Serikali Tanzania imekosa viongozi wenye kauli za kuitawala mfano wa Mrema na Lowassa

hapo umenena angekuwa mrema ni waziri angeshatoa amri na wafanya biashar. wote wangetii amri. kusingekua na ujinga huu. uongozi ni kipaji sio elimu tu. hawa mawaziri wa sasa vipaji hawana...
3. P

Mh. Augustino Lyatonga Mrema Mbunge wa Vunjo

na wewe t.shs ngapi nikununue sweet
4. P

Mrema aitolea uvivu CHADEMA

tatizo lako ni dogo, baba yako kuwa haiwezekani ndio maang unamuonea wivu mrema. poor thing
5. P

Augustino Lyatonga MREMA, Namvulia Kofia

nakubaliana na wewe asilimia 100 mkuu...
6. P

Mrema aitolea uvivu CHADEMA

tumekusoma ila angalia tu usije tangulia wewe mbele ya haki kabla yake. kufa ni kufa mbaya ukitangulia
7. P

Mrema aitolea uvivu CHADEMA

hapo hilo neno kuna watu wanajiona wenyewe wazima sana mpaka unaponda ugonjwa wa mwenzio. ajiangalie sana kutafuta sifa za kijinga mwishowe maradhi yatanpata yeye. angalie familia yake kabla kubofya ujinga huu
8. P

Mrema aitolea uvivu CHADEMA

kweli nabii hakubaliki kwao. mrema kachagulia na watu elfu 30 awe mbunge, wananchi wamemwamini. wa sauzi wakaona historia yake nzuri wakampa dr. wa heshima. wa tz tuna matatizo gani kazi kuponda tu. embu jiulize we baba yako kafanya nini mpaka unapata jeuri ya kumbeza mrema, hafiki hata robo ya...
9. P

Mrema Atoswa na Wanakamati wake

Tatizo watu hawapendi wengine wapate sifa. Mrema anafanya kazi nzuri bila yeye haya tusingeyasikia. Mbona dr. Slaa aliongoza kamati hii 2005 - 2010 hatusikia akikemea kitu au alikuwa nae anapewa rushwa, kwa kazi Mrema anayofanya JK amteue kuwa waziri..
10. P

TLP wazichapa kavukavu

huyu tao ni mamluki wa cdm katumwa nao, juzi mrema kawaponda cdm bungeni naona wanarudisha mashambulizi. huu ni mkono wa cdm. kuna vyama 18 kwanini tao asiende huko atapata uenyekiti..
11. P

TLP wazichapa kavukavu

huyu tao ni mamluki wa cdm katumwa nao, juzi mrema kawaponda cdm bungeni naona wanarudisha mashambulizi. huu ni mkono wa cdm.
12. P

Hamad, Cheyo, Mrema: WanaCCM ndani ya Upinzani...

acha siasa za chuki wapinzani wameshindwa bajeti unataka anune kama wewe ye kawa muungwana kakubali matokeo sio kila jambo kupinga tu! mrema anaonyesha njia nzuri, hao mawaziri ni marafiki zake kafanya nao kazi muda mrefu kusalimia sio kosa, acha chuki tumia akili.
13. P

Mbowe arejesha Shangingi la Kiongozi wa Upinzani Bungeni

mbowe kakataa shangingi la serikali ila atakuwa anatembelea vogue yake. unafiki tu, kafanya nini hapo
14. P

CHADEMA kuwashirikisha NCCR na TLP baraza jipya la Mawaziri Kivuli

hureee!! mbowe kaangukia pua, ule mkakati wake wa kufanya cdm kuwa chama kikuu cha upinzani na kuponda vyama vingine tlp na cuf kwamba ni ccm b imemuumbua, sasa kaona hafiki bila mrema. kaona mrema anavyo pambana na halmashauri kamkubali, vile vile kafulila. mbowe acha uroho utashika vingapi...
15. P

GE2010 Slaa na Mbowe, nani atafaa kwa urais 2015?

hii thread inaweza kuwa kweli. kitu kingine kibaya kuhusu mbowe ni kutaka kuua vyama vingine vya upinzani ili cdm kibaki kuwa chama kikuu cha upinzani. hii theory yake ni mbaya na itaumiza cdm vibaya 2015.
Back
Top Bottom