daaah! mkuu usichekeshe watu, hivi unaelewa unapoambiwa kitu kinakuwa katika projectile motion? anyway! hapo huwa wanaconsider 'time of flight' hata kama ingekuwa 1000 km, si ajabu ukaambiwa hilo kombora limesafiri kwa muda wa sekunde 40 tuu!!!
wakuu kumbe ndiyo huyo? si ndiyo wanamwitaga ndege john, sijui ndege nini vile? lakini mimi nahisi huyo siyo mwanamke huyo! huenda akawa msichana, mwanamke hawezi kuwa na akili kama za huyo!!
mkuu, si kila kitu utakipata kwenye katiba tuu! mind you, katiba ni frame work ya all laws (mather or fundamental laws). kwa hiyo ukitaka kufahamu protocols ni vema kusoma katiba na vitu vingine ambavyo si katiba lakini bado inaelezea nini ni nini? na kwa mazingira yapi na kwa wakati gani?
kwa seniority waziri wa ulinzi ndiyo snr kuliko waziri wa mambo ya ndani na ukitaka kujua hilo angalia cabinet baada ya waziri mkuu anayefuata ni waziri wa ulinzi wengine ndiyo wanafuata pia!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.