Tabia za wanawake wa karne hii wanakera!!!

Tabia za wanawake wa karne hii wanakera!!!

Wanaume wa siku hiz mna njaaa yaan unashindwa kumpa chakula ale ashibe unahesabu tuu!! We unataka aje akupe unachotaka akiwa na njaaaa wanaume mkoje badiliken bhna mnatuboa
 
Huyo umemchoka tu unamtafutia sababu ya kubwagana
 
Kwa nini baadhi ya wanawake wanatabia za ajabu Sana? Mimi Nina demu mmoja kila nikimuita tuonane anakuja kweli lakini lazima aseme hajala hata kama ni saa ngp atasema sijala dear, naomba ushauri mwanamke huyu anamatatizo gani?
Usishangae wanawake hiyo ni tabia ya kawaida, Mimi nilishashuhudia hilo miaka ya nyuma kidogo (10 iliyopita) nikiwa Deluxe club pale Mwanza mjini, Mwanamake anahitaji Samaki saa tisa Usiku na alikula akamaliza Sato mzima. Kwa hiyo ni kawaida tu usipate shida kabisa.
 
Kumbuka hapo nimesharushia hela kwenye M-PESA kama elfu 20 kama nauli lkn sehemu anayotoka anaweza kutumia elfu moja Kwa bodaboda.
raha uumpe na hela utoe isee kaka haupo siliaz
utamu unao mwenyew kwa dem tunafata uterez tu
 
Dah we nawe mwanaume......kula tu unalialia angeomba gari sasa hvi ndugu zako si wangekua wanafanya utaratibu wa mazishi khaaaaaaaaaa ...... acha tabia mbaya ya uchoyo ovyooo
 
Back
Top Bottom