N/korea Watest Kombora lililosafiri kilometer 700

N/korea Watest Kombora lililosafiri kilometer 700

Kweli vilaza mpo wengi hebu nisome tena vizur sio unashupalia jambo lililo nje ya nilichoongea.. Najinukuu KOMBORA LA KM 700 HALIFIKI HATA DAR TO TABORA kwa kujua dar to tabora ni more than 800 km so hilo la km 700 litafikaje,,,umekutwa na vyeti feki wewe sio bure
Tunamaanisha kitu kimoja, tumepishana kauli tu, hapo juu kuna mdau kasema Dar-Tabora ni km 250 ndiye niliyem-quote.
Sorry for inconveniences mkuu[emoji23] [emoji23]
 
Acha uongo wewe dar to tabora ni km 250 tu
sio wewe naona hap jamaa kachanganya, kuna jamaa hapo juu Chibolo
akanushe, maana jukwaa la kimataifa Sound sio kitu kizuri....
Lakini wachambuzi wa japan wamesema kombora lililofyatuliwa leo na NK lina uwezo wa kusafiri km 4000
 
Nimekupenda sana kijana wangu CHAZA inaonekana unafuatilia vyema hili la leo
Yeah kiongozi. Altitute ya 2000km siyo mchezo. Kwanza tu kifikisha hizo kilometa kwenda juu,hata kama litaenda kilometa 100 na kudondoka,ujue ni mafanikio makubwa. Height hiyo ni karibu ya umbali wa Dar to Kampala au Nairobi,siyo mchezo
 
Marekani ana makombora yanayofika popote duniani korea anatest km 700, marekani wana ndege za kivita za kisasa zenye gharama na zisizomilikiwa na nchi yeyote duniani, marekani huwez kumpiga kwa nuclear wala kwa mtutu tena bora korea kusini na china wanaweza kujaribu kumpiga marekani lakini sio N.korea
Ni elinishe uwezo wa s korea kijeshi mkuu
 
Nchi zote dunian zinatumia nguvu nyingi kujilinda kisiasa na kiuchumi zaid.
Nchi ya marekan na ulaya zote zimekuwa zikinyonya nchi masikin na zenye uchum wa kati kwa kutengeneza monopoly ya vitu wanavyo vitengeneza nasi bila kujua tunacheza na kupenda mambo yao.

Mfano uchumi wa USA unategemea sana soko la siraha na wametumia nguvu kubwa kuzitangaza na dunia inakubali kuwa wao ndio bora na kuwafanya wawe monopoly wa siraha vita na kuuza kwa gharama kubwa sana, kuanzia ndege vifaru hata vitu vingine. Jambo hili ndilo lililopelekea mvutano kat ya mrusi na marekan maana wote wapo ktk soko moja na leo NK anaingia ktk soku hili kitu ambacho USA kinauumiza maana anajua watagawana faida inayo tokana na kuuza siraha, maana kukuwa kwa tecknologia ya vita NK kunachochea nchi nyingi kuongeza utafit ktk sector hiyo ili kupunguza gharama ya kukunua vifaa vita kutoka USA. Lakin pia kuongezeka kwa ubora wa siraha za NK kunaifanya Russia kupata soko zaid maana inaaminika yeye ndio kituvu ktk mafanikio ya NK.
Kwa hali ilivyo sasa USA awez tena kuzuia hilo maana amisha chelewa na nchi zinazo mzungua NK ikiwa China SK, Japan, na Russia wanamkingia kifua NK kwakuogopa madhara yatakayo tokea kwa kutumia siraha za maangamizi ktk zone yao.

Marekan ataendelea kubweka tuuu ili wateja wake wazid kumwamin na ijulikane uwezo anao wakifanya hivyo ili soko lisiyumbe sana ila hata tupa hata jiwe lamkono NK
Bravo, we kichwa aisee. Wengine wanabwabwaja tu, wanajadili tukio badala ya chanzo. Kazi bado tunayo katka uchambuz wa hii kitu. Safi sana mkuu...
 
Watu humu mnasema wachambuzi wa Japani wamesema linatembea umbali wa km 700..... Wachambuzi wa N.Korea wakianza kutoa uchambuzi wao mnishtue kuhusu hilo kombora/au idara ya usalama wa taifa la N.Korea..... Maana hawa Pro-USA media siwaamini hata kidogo......
 
hivi kwa mawazo yako kati ya N korea na south. korea yupi mwenye nguvu kubwa za kijeshi? North korea si ya mchezo mchezo ndugu
Nami natamani kujua south na north yupi yuko vizuri kijeshi!
 
Kim sidhani kama ana roo ya kiubinadam Aisee Trump ebu futa uyu ibilisi kwenye uso huu wa dunia

Kwa mawazo yako unamuona USA na Trump kuwa ni watakatifu eeeeh!!?

Acha Kim Un na NK nao wafanye mambo siyo nchi chache kujifanya miungu nchi na wakati sote tu Dunia ya Munyazi !!
 
Sasa hivi technologia imebadilika,makombora yanadungulika,tofauti na zamani
 
kim ni freedom fighter hataki kupangiwa kama marekani anavyo zipangia nchi nyingine za kiafrika oohh mara free trade,Mara hakuna serikali kufanya biashara,Afya isitolewe bure..watu wanaompinga kim ni wale wanaoitukuza minyororo yao waliyo fungwa na Marekani.
 
Back
Top Bottom