Au kama kuna mtu anaeweza kunipa connection nikapata sponsor wa kunisponsor Mda wa masomo ulobakia itakuwa vizuri zaidi make adi saivi sjapata solution
Nimekuelewa mkuu lakini changamoto niliyonayo ndo inanifanya nisiendelee na shule siyo mm ndo naamua .
Hadi hapa nipo wodini naendelea na field lakini je nitaendelea iviivi bilq kupata basic needs,na chuo kinakaribia kufunguliwa Ada na hela ya kujikimu bado still problem .japo nipe mbinu niweze...
Ahsante Sana mkubwa,umepata moyo wa kunisapoti nashukhuru Sana.
Hapa tunasubiria matokeo.
Yakishatoka Tu na chuo kikifunguliwa ambapo ni tarehe 12.
Nitajitahidi kufanya registration na control number nitakutumia .
Shukhurani Sana kwa Moyo wa upendo Mungu akubariki🙏🙏
Biashara nishawahi Fanya ndogo ndogo sana kipindi nipo olevel Ambazo nikama kuuza karanga,miwa japo hata kuuza mifugo nilishajaribu japo inahitaji Imani Sana .
Kwa maana hiyo sina uzoefu Sana katika biashara ,japo ni wazo ambalo lilinijia kichwani baada ya kuona kila kitu hakiwezekani na nadhidi...
Siwezi nikanuna kaka kwani saivi natafuta solution ya changamoto kama ni kununa nimenuna mpaka pressure ikapanda ndo nikaamua kuja humu JF.
Ndio hapo naomba wazo Kwa upande wako nichukue boom mbili halafu nitapospon ...maanaake nikipospon bila kuchukua boom nitakuwa narudia Yale Yale...
Amina Sana kaka .
Kulipa direct kwenye chuo ndo njia Bora ambayo haihitaji usumbufu ,ukilinganisha na cash.
Nipo tayari Kwa sponsor kama itapatikana Nitavumilia kwa kuwa umenitia moyo nijiandae na night shift
Mungu akubariki Sana mchangiaji
Nimekuelewa kaka ninachosema ni kweli kama upo tayari nikutumie kila kitu DM.
Hata matokeo kwa ajili ya privacy lakini pia unisaidie kuwa ninayoyasema ni kweli .
Naomba ridhaa yako nikutumie DM.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.