Kawaweke sawa ndugu zako waliopoteza muelekeo wa maishaKivipi!?
Tunawekana tu sawa
Kawaweke sawa ndugu zako waliopoteza muelekeo wa maishaKivipi!?
Tunawekana tu sawa
Sina ndugu waliopoteza muelekeo wa maisha kama kijijini kwenu.Kawaweke sawa ndugu zako waliopoteza muelekeo wa maisha
Sikaribii sitakikaribu tena ndugu mdau 🐒
Hii ina faida gani kwa upande wakoCHADEMA pumzi imekata! Kwa sasa viongozi wa CHADEMA wameamua kwenda na upepo uliopo wa kisiasa nchini. Wamebaki kuwa motivational speakers kwenye majukwaa na kutupiana maneno tu na baadhi ya makada wa CCM bila hatua zozote za maana.
Sasa wananchi wanaonekana kuchanganyikiwa na hawaelewi hawa makada wa CHADEMA. Ujasiri wa kweli umebaki kwa Mwenyekiti wao, ambaye ameamua kupigania haki ya kweli bila kuuza roho yake kwa shetani.
Hawa viongozi wa CHADEMA hawana tena ujasiri wa kupambana na dola kama alivyokuwa akifanya Tundu Lissu; ni waoga wa kuitisha maandamano na waoga wa kuitwa Central.
BACK TO DEFAULT SETTINGS.
View attachment 3611871
kwa vile napajua kwako nitakuja tu upende usipende 🐒Sikaribii sitaki
Jaribu kutia mguu ni kuminye🐒kwa vile napajua kwako nitakuja tu upende usipende 🐒
sina maoni,Jaribu kutia mguu ni kuminye🐒
Nikunyooshee🤝sina maoni,
tukutane location 🐒
Kuna mchumba una mvizia niambie nikusaidieNimeshalewa nisije kutukana nikakosa mchumba humu maisha ya kweli
Jinga jingine linalochelewesha maendeleo hili apaCHADEMA pumzi imekata! Kwa sasa viongozi wa CHADEMA wameamua kwenda na upepo uliopo wa kisiasa nchini. Wamebaki kuwa motivational speakers kwenye majukwaa na kutupiana maneno tu na baadhi ya makada wa CCM bila hatua zozote za maana.
Sasa wananchi wanaonekana kuchanganyikiwa na hawaelewi hawa makada wa CHADEMA. Ujasiri wa kweli umebaki kwa Mwenyekiti wao, ambaye ameamua kupigania haki ya kweli bila kuuza roho yake kwa shetani.
Hawa viongozi wa CHADEMA hawana tena ujasiri wa kupambana na dola kama alivyokuwa akifanya Tundu Lissu; ni waoga wa kuitisha maandamano na waoga wa kuitwa Central.
BACK TO DEFAULT SETTINGS.
View attachment 3611871
🤣🤣🤣 kesho kanisani mimi mwana karistamatics niache ninywe kidogo nilaleKuna mchumba una mvizia niambie nikusaidie
Ni weweKuna mchumba una mvizia niambie nikusaidie
Haya lala sasa 🤗😁Ni wewe
Nakunywa bia ya mwisho 🤣🤣 bia za stress huwezi kulewaHaya lala sasa 🤗😁
Ukimaliza njoo nikuambie namna ya ku wafurusha CCMNakunywa bia ya mwisho 🤣🤣 bia za stress huwezi kulewa
😂😂😂 unataka kutufurumsha sisi bado tupo sana tutawafukuza wakina mwashambwa CCM ukweli daima kimejengwa kwa misingi hiyo wahuni wachache wanachafua brand ya chamaUkimaliza njoo nikuambie namna ya ku wafurusha CCM
Basi njoo uchukue kadi yenu 😏😏😂😂😂 unataka kutufurumsha sisi bado tupo sana tutawafukuza wakina mwashambwa CCM ukweli daima kimejengwa kwa misingi hiyo wahuni wachache wanachafua brand ya chama
Mchumba punguza jazba yanazungumzika🙏🙏Basi njoo uchukue kadi yenu 😏😏