Recent content by POCHAAI

  1. P

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sehemu za mwili wa binadamu zenye kasoro kiuumbaji

    Binadamu akifikia hatua ya kumkosoa Muumba wake, kuna tatizo mahali.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Usisaidie masikini, acha wafe

    Mtu kabla hajawa tajiri alikuwaje? Tajiri anasaidiwaje? Unafikiri matajiri wamekuwa matajiri bila kuwategemea masikini? Ukiona kuna matajiri nyuma kuna masikini wengi tu waliozidiwa fikra na mtu mmoja au wachache ambao unaowaita masikini.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 5 nataka ninunue IST niifanye Uber

    Hizo mln 5 kanunue saa pale qnet utakuja kunishukuru, jiamini piga kifua mara alfu sema mimi ni mpumbavuu wa kwanza. Joke.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kauli mbiu "Hapa Kazi tu, Tanzania ya viwanda" bado unazisikia huko kwenu?!!

    hahaaa MAVI--wonder.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kauli mbiu "Hapa Kazi tu, Tanzania ya viwanda" bado unazisikia huko kwenu?!!

    hahaaa MAVI--wonder.
  6. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa rafiki yangu kanirushia uchi wake whatsapp kimakosa

    panya kaingia kwenye shimo la paka
  7. P

    JamiiForums Tanzania Mungu nisifikie kukata tamaa

    mkuu toka nje, Mungu atakuletea mtu wa kukutoa hapo...wengi yunapitia hizo changamoto.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Lissu, kukuchangia hela halafu unapiga picha unatumbua minyama siyo sawa

    Hahahaa mwache jamaa ale bwana, mbona wewe pia unapiga kitiz na vyombo mkuu. Au ulitaka uone sinia la mihogo ndo ufurahi mkuu.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wengi hawatumii mtandao wa LinkedIn?

    mkuu umedis jf halafu bdo na wewe upo humu! ni ishara ya nini!?
  10. P

    JamiiForums Tanzania Hatimaye askari Zuberi wa trafiki anacheza na masijala sasa

    undefined undefinedundefined
  11. P

    JamiiForums Tanzania 50 killed in New Zealand after gunmen attack Mosques(Waislamu wavamiwa Msikitini New Zealand; 50 wauawa)

    unadhani kuna mtu anaweza kuzuia dini au imani fulani isisambae!? ni kujidanganya na upuuzi tu.
  12. P

    JamiiForums Tanzania 50 killed in New Zealand after gunmen attack Mosques(Waislamu wavamiwa Msikitini New Zealand; 50 wauawa)

    mkuu unatetea pumba na utumbo ndani yake, chuki imekujaa mpaka kwenye visigino. msikitini wanasali wakiristo siku hizi!?
  13. P

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akamilisha matibabu sasa hana sababu kuendelea kuishi ughaibuni

    Una haraka kama unafukuzwa, tulia andika taratibu. Unaruka ruka kama unakaga kinyesi.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Hatimaye imejulikana: Dereva wa Lissu yuko Ubelgiji, akahojiwe

    vipi kuhusu camera nani alitoa, walnzi wamehojiwa!? na maids je!? unateseka sana kumuona TAL akiwa hai, dhuluma haitwaacha salama.
Back
Top Bottom