Recent content by pmuta

  1. pmuta

    Rais Samia Suluhu piga chini daraja la Kigongo - Busisi haijalishi lilipofikia

    Hapa ndoutajua kuna watu utumia matako kufikili
  2. pmuta

    Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla

    Wadau natafta mzani wa digital kg 150 ntapata wap na kias gani naambiwa darinapatkana kwa bei nafuu mm nko Mz
  3. pmuta

    GE2020 Rais Magufuli muombe Rais Mstaafu Kikwete akusaidie kupiga kampeni

    Kwanza naona Km Magufuli anajichosha izo pesa za kampeni bora angewaongezea mishahara watumishi yeye akaendelea kufanya kazi za nchi kwa aliyoyafanya miaka5 haitaji kusumbuka sioni mpinzani wakupambana nae.Wapinzani badala ya kutwambia watatufanyia nn wao wanabaki kutueleza upigwaji wao wa...
  4. pmuta

    GE2020 Kauli Mbiu ya CHADEMA: Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu

    Usawa huu kweli alofanya Magufuli kuna Mtanzania wa kudanywa!! Yan wapinzani mkifkisha kura milioni 3.5 mfanye na sherehe kabisa maana vitu vilivyofanywa na Magufuli kwa Mtanzania yoyote mwenye akili timamu awez kupoteza kula yake kuwapa wapinzani tena waliotetea mabeberu hili waendelee kubeba...
  5. pmuta

    Tundu Lissu utakaposhika dola usirudie makosa haya

    Sure uyoatae mpa kula atakua chiz
  6. pmuta

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Leo aibu kubwa sana mmeipata ,kwanza beki wenu kanawa Mpira kabla ajatoa pasi bado hajaonekana!!mmebeeeeebwa! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. pmuta

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Yan Leo uzuri wenu wote umefutika Dunia nzima imeona ni jinsi gani mnavobebwa du! Very shameful yani!! Sent using Jamii Forums mobile app
  8. pmuta

    CCM ijifunze kwa Mwambe, Wamuachie Membe agombee!

    Acheni mbwembwe nyie ndomlizoe vya bule sisi tunaotaka maendeleo ya hii nchi tunatamani ata katiba ibadilishwe Mr President atuongoze ata miaka 20 mbele . Sent using Jamii Forums mobile app
  9. pmuta

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa January Makamba kuwa Waziri wa Mazingira; yeye asema ameyapokea mabadiliko kwa moyo mweupe

    Ukijua vizr maana ya Amri jeshi mkuu wala upati shida.Piga kazi Rais wetu na uchaguz ujao kula utavuna za kutosha wala huitaji kutumia nguvu.
  10. pmuta

    Hawa Bolt (Old Taxify) ni majambazi wa mchana kweupe!

    Kwa ujumla hao jamaa ni vibaka wala si tatizo la madereva nitatizo la kampuni biashala imewashinda kabisa system zao mbovu nawalichokifanya wameondoa bonas zote kwa madereva nabil yote kuiludisha kwa mteja iyobei inayokuja wakat unaomba trip sio ya kweli ,mfano kwa sasa dereva akianza trip let...
  11. pmuta

    Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

    Afadhal ya hao Uber ,kuna vibaka wa Mwanza wanajiita Bolt au taxfy wale biashala imewashinda kabisa.
  12. pmuta

    Nawakumbusha tena kuwa Makonda sio mdogo kama wengi tunavofikiria

    Kati ya kiongozi ninaetamani kwa badae awe Rais wa nchii hii ni kijana shupavu mjasili asiyeyumbishwa Mh Makonda.Nani asiyejua kua wachaga ni bahili jamani! Km akikosea bac tajeni hapa nimchaga gani mwingine kajitoa kuwasaidia wanyonge? Twambie hapa ninani! Sasa wap Makonda alikosea km sio...
  13. pmuta

    Huku msiba ukiwa haujaisha, wizi mkubwa wafanyika kwenye jumba la Mengi!

    Nyie sindomlikua mnajigamba naiyonyumba kua ina security system isiyo ya kawaida !Alafu Leo hii wezi wameiba! Shame on you.
  14. pmuta

    Kagera/Bukoba yaongoza kwa Idadi ya Maprofesa ikifuatiwa na kipande cha Mwanza Ukerewe

    Kumbe ndomaana mzee mengi aliamua avute mtoto wa Kihaya hili aone km atatoa mbegu zenye akili ya kutosha.
  15. pmuta

    Haitokaa utokee msiba wa kipekee hivi Tanzania uchaggani kama ulaya

    Jaman Jack sio Muha anatokea wilaya ya Ngara mkoani Kagera ambayo ikompakani na Burundi pamoja na mkoa wa Kigoma,na Rwanda.
Back
Top Bottom