Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,031
- 74,722
Kama ndani ya CCM Magufuli anakubalika kama anavyokubalika Mbowe ndani ya Chadema kwa nini wasimuachie Membe aingie kwenye kipute cha kura kugombea kupeperusha bendera kwenye uchaguzi mkuu?
Chadema wapo waliokuwa na wasiwasi kuwa huenda Mwambe atamng'oa Mbowe katika uchaguzi huu lakini kwa ushindi huu wa 93% sidhani kama kulikuwa na sababu ya kuleta figisu.
Ni wakati wa CCM kwa kujiamini kabisa imruhusu Membe badala ya kumzonga kama adui na mhaini wakati anatekeleza sharti la katiba na kama ni KWELI Magufuli anakubalika atambwaga kwa kura. Hofu ya nini kwa mpendwa wenu?
Sent using Jamii Forums mobile app