Hoja ya lugha ni ya kipumbavu sana kujadiliwa. Sijui nani kawaambia lugha (hasa kiingereza) ndio kila kitu? English sio lugha yake na hata hivyo huwezi tegemea perfection kutoka kwake kwa lugha isiyokuwa yake. Ni jambo la kawaida sana, na kama hujui ni kwamba Spain, Portugal, German, China...