nikiingia kazini tarehe 16 nitaanza kufanyia kazi mbinu hii.
nusu ya mshahara lazima nisevu, nitabana sana matumizi
lazima niwe na namna ya kuja kuwa na hela nyingi, matumizi kidogo
mkuu asante kwa maswali maswali.
mimi nahitaji water pump ambayo itanisaidia kuvuta maji kutoka ziwani/bwawani na kupeleka kwenye shamba la mahindi na bustani ambazo nimepanga kuja kuziweka karibu na eneo hili umbali kama wa mita 120 kutoka kwenye chanzo cha maji
ntashukuru endapo nitasaidiwa
Hello wadau na wakuu wa forum hii adimu ya JF!
mimi ni kijana wa umri wa miaka 26,
naishi mwanza mjini kabisa.
nimekuja mbele zenu hapa mnipatie msaada wa vifaa mbalimbali ili niweze kuingia katika kilimo
Nimesoma machapisho mbalimbali humu jf na kuona namna watu wanavyofanya shughuli zao za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.