Jinsi ya kuwa Tajiri

kuwa yafuatayo.
-askofu au nabii au jiitee mtume kabisa
-anzaaa kuimbaa taarabu coz mzee yusuph hana mpinzani
-kuwa mwizii ikiwezekana jambazi kabisa
- tafuta mwanamke wa kichagaa
-jiunge team lowassa.
-anzaa udalali wa papuchi za watoto classic wazuri sio kina watoto wanuka mbu.nye
-anzaaa kwa babaa askofuu gwajima au matransfomaa
mkuu umeongea point japo watu hawatakuelewa (haaswa kwa utajiri wa haraka)
 
WUDI
1Timotheo 6:9-10 "Lakini hao watakao kuwa na mali huanguka katika majaribu na tanzi, na tamaa nyingi zisizo na maana, zenye kudhuru, ziwatosazo wanadamu katika upotevu na uharibifu. Maana shina moja mabaya ya kila namna ni kupenda fedha....."
If you believe in Bible then that verse will be helpful
WUDI, economista

'Kwani wao hawajui kwamba Mwenyezi Mungu humkunjulia riziki amtakaye na akamkadiria ? Hakika katika haya (ya riziki na mali) bila shaka zipo Ishara (za Nguvu za Mwenyezi Mungu) kwa watu wanao amini.

Qur'an: 32:52.
 
Last edited by a moderator:
Mbona hujataja hii njia ya kupata utajiri?

"Jifunze ku-save pesa benki kidogo kidogo kama 25% ya mshahara wako kila mwezi, hii ni pamoja na kuwa na nidhamu katika matumizi ya pesa zako"

Imeekaaje hiyo???
nikiingia kazini tarehe 16 nitaanza kufanyia kazi mbinu hii.
nusu ya mshahara lazima nisevu, nitabana sana matumizi
lazima niwe na namna ya kuja kuwa na hela nyingi, matumizi kidogo
 
Back
Top Bottom