Kijana wa kiume akamatwa akimfanyia mtihani mpenzi wake wa kike

Rita Warobi

JF-Expert Member
May 17, 2017
343
1,000
Mmmh Mara nne?
BASHITE WA Zimbabwe
3c703fcc12f9684c6a3eed1b7bb08e36.jpg
Haha ila kuna watu mna masihara jamani
 

NAKWEDE

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
27,966
2,000
mu kukamata watu wanaofanyiana mtihani ni kawaida (wako vizuri kwenye kufatilia) SOB Kuna mzee mmoja (prof.) anavaa miwani yenye lenzi mbili nae balaaa

yote tisa kumi yupo mzee flani huwa anavaa suti na huonekana siku ya mitihani tu hahahahha yule mzee ajawahi toka kapa kwenye kukamata wale wanao piga chabo, wazee wa migi, kufanyiana mitihani

ninesoma hadi namaliza yule mzee sijawahi mfahamu ni nani (kwa jina na kazi)
Yule ni afisa mitihani.hahahahahaah
 

artisan

Member
May 13, 2017
74
125
Inaonekana jamaa alikuwa anamtokea du mara kwa mara lkn due akawa anampiga chini mwana,mwisho wa siku jamaaa akaambiwa ukitaka nikukubalie ombi lako njoo unifanyie mtihani then nikifaulu ntakupa papuchi,sasa kabla mission haijakamilika hatimae waamekalia kuti kavu.
 

zipompa

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
6,938
2,000
Ni mtu wa quaity assuarance...kaz ni kuhakikisha mitihan imetungwa standard na no cheating at all
yule bwana yuko vizuri sana kwenye ukamataji, ila kuna siku demu wa law mwaka wa 2 (2013 iyo nah kabla aijaitwa sijui jina gani) aliwatoa jasho.

alionwa ana migi akafatwa kwa spidi kali, akawaotea akaitafuna fasta na kuimeza. walikosa ushahidi demu akabaki chuo.
 

zipompa

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
6,938
2,000
hahahahahahahha, sikutaka kukisema chuo changu hadharani, hahahahaahh
wewe ujasoma pale itakuwa ulikuwa una hadithiwa tu, maana umesema ulisomea hotel management pale hamna iyo.

mara umekiita ka chuo,mu iwe ka chuo na vingine vitakuwa nini?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom