Recent content by pius mabula

  1. P

    Viongozi Wakuu wa NCCR - Mageuzi Watoa Tamko, Waikosoa UKAWA

    Mnachanganya yule wa Ccm anaitwa Nyambari Nyangwine! kitu kama hicho!
  2. P

    Hii kauli ya Magufuli "Polisi ueni Majambazi", imenitisha sana

    Hukuisikia kauli ya Magufuri??? mbona unajitoa ufahamu???
  3. P

    Lissu: kumfungulia Sugu kesi ni kinyume na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa wa Tanzania

    Hafu kumbe na wewe huna akili, unapozungumzia kinga ya Mbunge ni kuanzia ndan ya ukumbi mpaka nje ya eneo la uzio wa bunge.
  4. P

    Kwa vijana wa kiume wanaotaka kuingia kwenye ndoa ushaur huu unawahusu

    Kadri umri wa mwanamke unavyokua mkubwa ndo anavyozidi kufanya ujinga mwingi, kuna wanawake wengi wapo over 30 na kwa Madudu wanayofanya hata Binti wa form two huwa anashangaa akisikia.
  5. P

    Mdogo wangu ananitaka kimapenzi

    Mpe kidogo, umewapa wangapi usowajua bana na wakaenda zao? Sembuse anayetaka kujidhuru hafu ni Ndugu yako? Mi mbona nimeshalia sana kwa binamu na watoto wa mama wadogo na tukaukomaza undugu wetu! Hawezi kuondoka nayo na Akifa utajilaumu milele, mpe kidogo ila umwambie asizoee coz haruhusiwi kukuoa.
  6. P

    Naanzaje kwa sh 1,000,000?

    I like ur qstn!
  7. P

    Nisaidieni! Namtafuta baba yangu John Herman Kowanga!

    Huwezi kujua kilichotokea so usitoe hukumu we toa ushauri tu, wanawake unawajua unawasikia?
  8. P

    Kwa mapambano haya tu, CHADEMA mnakaribishwa Zanzbar

    Hivi huwa unalipwa? Ni kwa akili yako au ni kwa mapenzi yako mwenyewe?
  9. P

    VIDEO: Kagame apigwa mawe London

    Tunaletewa habari za Hitler leo na hatukuwepo, sembuse ya mwezi 5? Habari ni habari tu.
  10. P

    Maajabu: Nchimbi agoma kumwekea ulinzi Mwakyembe, agoma kuzungumzia wauza unga

    Kile unachokiongea wewe NDO UNAFIKI WENYEWE KAMA HUJUI.
  11. P

    Rose Garden:wahudumu wenu wa jiko wezi kupindukia

    Huwa wanakua na bili za aina 2 kwenye karatasi 1, upande 1 bili sahihi nyingine ni Magumashi.
  12. P

    TB Joshua....Emmanuel TV

    Huna Imani ndo maana hupokei, wewe hata ungeombewa na Yesu mwenyewe kama huna Imani ni bure tu! Imesemwa hata UKIWA NA IMANI KAMA PUNJE YA HALADALI BASI UNAWEZA KUUHAMISHA MLIMA NA UKAONDOKA (HAIKUSEMWA UWE NA IMANI KUBWA KAMA IKULU YA MAGOGONI) bali imesemwa hata uwe na Imani ndogo kama punje...
  13. P

    Kumbe Watutsi ni Jews?

    Wapo sahihi, Queen of Sheeba alizaa na Mfalme Suleiman mtoto wa Kiume na alirudi Ethiopia na mwanae, Queen of Sheeba she was a pure beautifully black ambaye hajawai kutokea tena, unaweza kuona kwenye Bible Suleiman anavyomsifia, pia unaweza kuwacheck wadada wa kitutsi walivyo, so Cute.
Back
Top Bottom