Hii kauli ya Magufuli "Polisi ueni Majambazi", imenitisha sana

makundubhyali

JF-Expert Member
May 26, 2013
2,389
882
Katika uchambuzi wa magazeti ya leo gazeti la NIPASHE limeandika kuwa Magufuli ametoa amri polisi waue majambazi !!!

Kauli hii nategemea wanaotetea haki za binadamu waitolee maelezo kama walivyoshupalia kauli ya babu Seya kuachiwa na Rais.

Kama rais mtarajiwa anatoa amri ya watu kuuawa bila kupelekwa mahakamani je akiwa Rais watu watasalimika?

Wanasheria na watetezi wa haki za binadamu naomba kauli yenu.

Chanzo: NIPASHE YA LEO.
 
Katika uchambuzi wa magazeti ya leo gazeti la NIPASHE limeandika kuwa Magufuri ametoa amri polis waue majambazi !!! Kauli hii nategemea wanaotetea haki za binadamu waitolee maelezo kama walivyoshupalia kauli ya babu Seya kuachiwa na rais. Kama rais mtarajiwa anatoa amri ya watu kuuwawa bila kupelekwa mahakamani je akiwa rais watu watasalimika !!? Wanasheria na watetezi wa haki za binadamu naomba kauli yenu.
Chanzo NIPASHE YA LEO.

Wewe unatoa ushauri gani
 
Nipashe la mengi ,mengi anataka lowasa ashinde halafu wote wanatoka kaskazini conect dot we usiyejitambua.
 
Ulishajiuliza kwanini kila kizuri cha Magufuri kwa nini nipashe hawaandika na Kila kibaha cha LOWASSA kwanini nipashe hawaandiki,, Umeona yule mwandishi wa nipashe alichokuwa anauliza kwa dr slaa?? Hatuna shida nao hawa tunajua mkakati wao,, ulishajiuliza kwanini tuhumu dhidi ya LOWASSA, MBATIA NA SUMAYE ndio huzijibu??
 
Katika uchambuzi wa magazeti ya leo gazeti la NIPASHE limeandika kuwa Magufuri ametoa amri polis waue majambazi !!! Kauli hii nategemea wanaotetea haki za binadamu waitolee maelezo kama walivyoshupalia kauli ya babu Seya kuachiwa na rais. Kama rais mtarajiwa anatoa amri ya watu kuuwawa bila kupelekwa mahakamani je akiwa rais watu watasalimika !!? Wanasheria na watetezi wa haki za binadamu naomba kauli yenu.
Chanzo NIPASHE YA LEO.
Ndio amesema na mimi na muunga mkono na amesema kwenye uongozi wake majambazi yakivamia vituo vya polisi wapigwe risasi na kuuwawa....!

Aliendelea kusema polisi wetu wamekuwa wakiuwawa na majambazi kwakuwa ya kuambiwa si ruhusa kuuwa na akasema kwanini majambazi hawavamii vituo vya jeshi?

Na wauwawe tuu kama unawaonea huruma wambie waache ujambazi haulipi!
 
Hata ingekuwa ivo, kuna wengi tunaung a mkono maendeleo ya Rwanda. moja ya mambo wanafanya ni hayo. mtu mmekamata anaiba kabisa, kwanini mpeleke kwa hakimu anayehukumu kitu kinachohitaji uchunguzi wa kweli. aliyeunda zengwe hilo ajipange tena
 
Big up mkuu!
sisi Tanzania moja ya mambo tunatakiwa kuwa efficient ni kutoa maamuzi ya haraka kwa vitu vya wazi. Ona Marekani umefanya kosa la wazi la kuhatarisha ni hapo hapo. Hao wanyarwanda; wanatushangaa sana kuona majambazi wamekamatwa wakiwa na silaha bado wanaenda mahakamani. Si kurundika kesi tu. Bora wakomeshwe tu. Japo najua kwa TZ haiwezekani hilo taratibu si vibaya kufuatwa. Ila kama ana mpango huo.namuunga mkono!!
Ndio amesema na mimi na muunga mkono na amesema kwenye uongozi wake majambazi yakivamia vituo vya polisi wapigwe risasi na kuuwawa....!

Aliendelea kusema polisi wetu wamekuwa wakiuwawa na majambazi kwakuwa ya kuambiwa si ruhusa kuuwa na akasema kwanini majambazi hawavamii vituo vya jeshi?

Na wauwawe tuu kama unawaonea huruma wambie waache ujambazi haulipi!
 
Ndio amesema na mimi na muunga mkono na amesema kwenye uongozi wake majambazi yakivamia vituo vya polisi wapigwe risasi na kuuwawa....!

Aliendelea kusema polisi wetu wamekuwa wakiuwawa na majambazi kwakuwa ya kuambiwa si ruhusa kuuwa na akasema kwanini majambazi hawavamii vituo vya jeshi?

Na wauwawe tuu kama unawaonea huruma wambie waache ujambazi haulipi!
.Wewe ndiye mtu pekee nimekuona unasema nyeupe ni nyeupe siyo ubishi usio na tija kama wa rafiki yangu Simiyu yetu pamoja na fununu kuwa ni kigogo mkubwa lakini anashindwa kuukubali ukweli unapojitokeza kwani ukweli umuweka mtu huru.
 
Back
Top Bottom