Habari JF
Naamini duniani akuna kipya kwamba watu hawajakiona au kukisikia na wengine kukifanya kabisa!
Nina mtaji wa laki je ni biashara gan naweza kuifanya ata kwa kuniingizia faida ya buku kwa sku...
Mimi nataka aliefanikiwa kuroot simu ambayo ni adroid version less 6.1.... Kiufup kuroot smu kwa kutumia sm yenyew kwa version hizi mpya ni nivugumu mnoo au naweza sema aiwezkani... Mim ni chronic user wa root lkn mpaka nilipojaribu kuroot kwa kutumia pc other wise ni kupoteza muda
Habari wana JF!
Kuna hili lakulifahamu tunajua wote ni namna gani tunapata tabu kutafuta movie kwa hara na HD
TUNASIKITIKA KUONA MMILIKI WA TERRARIUM TV kuifungia app hiyo
Kama mpenzi wa movie tuambie app gan nzuri kwa movie na series zote
Habari wanajamvi nimekuwa mtumiaji saana wa samsung lakin smu nyingi za samsung note 4 nilizokutana nazo zna tatizo la USSD CODE.... MOJA WAPO NI HII NINAYOTUMIA
YAAN SIWEZ INGIA MENU YA TIGO PESA AU MPESA
MWENYE UJUZI ZAIDI ANISAIDIE SHUKRANI
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha inajieleza mkuu! Ni kwamba kuanzia device zenye adroid 5.0.0 na kuendelea ni vigumu saana kuroot na ukipata root ikafanya kaz bhas kuna baadhi ya vitu avitokuwa sawa kama notification parnell.... Na smu kuwa na tatzo la kuzma na kuwaka.!
Mpaka unaona nimetumia root master ujue nimetumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.