Je, Muonekano wa nje (utanashati au urembo) unadumisha mapenzi kwa mwanaume au mwanamke?

omarion5

JF-Expert Member
Oct 14, 2017
5,206
17,677
wadau habari,

Je Muonekano wa nje(utanashati au urembo) unadumisha Mapenzi yaani mwanamme au mwanamke kuzidisha mapenzi kwa mwenza wake?

kuna baadhi ya manukato (body spray na perfumes) zinaongeza upendo mfano Mpenzi wako anapoyasikia manukato uliyoyatumia siku hiyo anaweza kukupenda au asikupende kama kayapenda au hajayapenda hayo manukato hayo manukato?

kuna Nguo ambazo Mwanamme au Mwanamke akivaa anavutia zaidi na kumfanya Mwenza wake kuongeza mapenzi mala dufu au kumchukia milele?

karibuni.
 
men & womenView attachment 781290
Top-20-Most-Handsome-Men-In-The-World-2017-2.jpg
 
Kuwa nadhifu ni moja vitu wanawake wanavutiwa sana kutoka kwa mwanaume,na kama unajua kupangilia nguo ndo kabisa.pia anapotembea na MTU wa aina hyo au kuongozana ujiamini sana.unadhifu huficha udhaifu wa mtu.
 
well said.

na je utanashati au urembo unaweza kuongeza wivu baina na wapenzi wawili?
 
well said.

na je utanashati au urembo unaweza kuongeza wivu baina na wapenzi wawili?
Inategemea kama watu wamekutana ktk hali hyo si dhani itakuwa shida ila kama mmoja hakuwa ktk hali hyo halafu kuanza kupendeza lzma wivu ukupate maana ni laazizi wako.ila kuna wanawake wanapenda mwanaume kuvaa pensi au kaptula yan wanapagawa na inapendeza mpenzi wako ndo awe anakupangia vazi maana unapendeza kwa ajiri yke .maana hata ukipata sifa utasikia hyu mume/mke au mpenzi wako Fulani.
 
asanteh na shukrani kwa mchango wako.
 
yan sipendi perfum cjui kwanin, hata ninuse halufu ya mtu akiwa amepaka huwa cpendi sana, UTANASHATI NA UREMBO SAWA
 
Back
Top Bottom