Sisi watanzania tumsubirie aje na papara zake. Hatuogopi msimamo isiyo na mantiki, sehemu ya TZ ya ziwa inatambulika according to international laws na sio mtu aliyeshinda uchaguzi.
kama ni kweli amekuacha kwasababu ya kukataa kula kitimoto ingawa ulibadili dini hapo amekuonea sana, tena amekurupuka, labda kuwe na sababu nyingine ambayo imejificha. Amekuwa na haraka ya kukubadilisha, anatakiwa ajue kuwa kumbadilisha mtu dini is a slow process sio tu siku moja mtu aanze...
Huyo kachanganyikiwa na pesa, anahitaji msaada wako, anakoelekea huenda hajitambui. Hivyo wa kumsaidia ni wewe mwenyewe uliotoka naye mbali. Wengine wapya watambamiza halafu atakuja kurudi kwako yuko hoi. Usikate tamaa haraka ndio changamoto za maisha hizo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.