Nimeachwa kisa sili kitimoto

Nimeachwa kisa sili kitimoto

Washauri na wengine wasile kitimoto ili tubaki wachache wa kukifaidi
 
"Mwanamke hana dini"

Huwa inamaanisha njni?
Mwanamkr hana akili ya kufanya maamuzi?
Hana roho?
Hajielewi?
Hana direction ya maisha?
Bendera fuata upepo?
Hana thamani?
Au?

Hiwa siielewi hii sentensi

yoote ni majibu hayo..
 
Hivi kulamba dushe ama papuchi na kula kiti moto ipi halali na haramu?
 
kama ni kweli amekuacha kwasababu ya kukataa kula kitimoto ingawa ulibadili dini hapo amekuonea sana, tena amekurupuka, labda kuwe na sababu nyingine ambayo imejificha. Amekuwa na haraka ya kukubadilisha, anatakiwa ajue kuwa kumbadilisha mtu dini is a slow process sio tu siku moja mtu aanze kufanya kila kitu. Huyo alieyekuacha amekosa uvumilivu. Sisi ni wakristo tulikuwa na mdogo wetu ambaye alikuwa hali kitimoto na hakutaka hata kuonja. sisi tulimwacha kama alivyo but slowly alikuja kubadilika na akawa anakula.

tulichofanya tulinunua kitimoto bila yeye kujua kikapikwa vizuri yeye akajua kuwa ni ngombe tu aliyenona basi akala siku ya kwanza na akasifia kuwa huyu ng'ombe alikuwa mzuri kweli na kwasababu alikuwa hali kitimoto kwa hiyo hajui hata ladha yake. tulifanya hivyo kama mara tatu then ndio tukamwambia kuwa ile nyama uliyokuwa unaisifia ni tamu na nzuri ilikuwa ni kitimoto baada ya siku kadhaa. ukimwambia siku hiyo hiyo atatapika hivyo tulisubiri baada ya siku kadhaaa. baada ya hapo akasema kumbe nilikuwa naogopa bure wala hamna shida tena ni kitamu sana. toka siku hiyo anakula sana kitimoto na anakipenda.

hivyo namshauri huyo jamaa akajipange vizuri, hiyo sio sababu ya msingi ya kumwacha mtu. na akijipanga vizuri itafika siku utakila tena kwa furaha na kukisifia sana. inategemea atakuja na strategy gani za kukuweka kwenye line yake. kuna waislamu wengi tu walakula kitimoto ila kwa siri na wanajua kuwa ni kitamu ila ni siri yao. ukitaka kuhakikisha utaona jinsi biashara ya kitimoto ambavyo huwa inadoda mwezi wa ramadhani.

ni kweli unampenda na yeye pengine anakupenda ila namshauri awe na uvumilivu mabadiliko yanakuja taratibu ukilazimisha utavunja glass. Experience yangu, ni kwamba ilichukua muda wa kama miaka miwili kumbadilisha nimpendaye yaani my wife aje kwenye kanisa ninalosali, kukubali alikubalia mapema ila alikuwa akisali kwenye kanisa letu anaona kama hajasali vile, nilienda naye hivyo hivyo mpaka ikafika wakati yeye ndio akawa wa kwanza kuliko wengine. as long as ulishaanza kusema yes namshauri asiwe na haraka its just the matter of time, things will be okay.
 
Huyo mwanaume hakukupenda........kula kitimoto na ndoa yenu ina mahusiano gani???kama huli maharage jeeee???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom