Recent content by pinkpink

  1. pinkpink

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kuchoma chips na mishikaki Katoro

    nakuja suz badae dm namba yako nikuchek
  2. pinkpink

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yuko wapi mkaka/mdada aliekuwa anakupenda sana kipindi hicho ukamkataa and viceversa

    🤣🤣
  3. pinkpink

    JamiiForums Tanzania Siri usiyoijua kuhusu ndoto na tafsiri zake

    daah mkuu hii ni kweli kabisa siwezi kusema nimepata mafanikio 100% ila ukilinganisha kipindi cha miaka miwili nyuma na sasa hivi nimepiga hatua na hii ni kutokana na kazi nzuri niliyopata na cheo ambacho ninacho kwa sasa.,,nazidi kuomba Mungu nifanikiwe zaidi
  4. pinkpink

    JamiiForums Tanzania Siri usiyoijua kuhusu ndoto na tafsiri zake

    Habari mkuu, Nina miaka zaidi ya miwili sasa naota ndoto zinazohusiana na maji, either kuna mafuriko napita kwenye hayo maji ila kabla sijavuka ng'ambo ya pili maji yanakuwa yameisha, na ndoto zingine napita sehemu kuna maji mengi sana yanatembea kwa kasi nawaongoza rafikizi zangu au ndugu...
  5. pinkpink

    JamiiForums Tanzania Fahamu namna ya kujua kirahisi sehemu yenye mzungunguko wa pesa Tanzania

    pia ukiona kuna foleni zisizoisha za magari barabarani
  6. pinkpink

    JamiiForums Tanzania The Simpsons katuni inayoigiza maisha ya viongozi/watu maarufu wa marekani wajao na waliopita

    Wadau hv ni kweli cartoon ya the Simpsons inacheza uwalisia wa maisha ya maraisi wa marekani na watu maarufu na walishaigiza maisha ya urais ya Donald Trump hata kabla ya kuwa rais
  7. pinkpink

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wangu kumbe tupo naye humu JF! Threads na Comments zake ndo zimeniua kabisa

    Sasa unataka awe serious kotekote
  8. pinkpink

    JamiiForums Tanzania SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

    Imetoka tayari
  9. pinkpink

    JamiiForums Tanzania SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

    mkuu nimeicheck kidogo nikawa sielewi elewi nikaja huku nipate muongozo ili mzuka wa kuicheck vizuri upande
  10. pinkpink

    JamiiForums Tanzania SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

    Mkuu hapo ongeza na HANNA new series, ni noma ina season one hadi sasa
  11. pinkpink

    JamiiForums Tanzania SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

    hahaha googling ni kipaji pia
  12. pinkpink

    JamiiForums Tanzania SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

    thank you I'll find the time to watch it this coming holiday
  13. pinkpink

    JamiiForums Tanzania SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

    what is it about ndo nianze kuangalia
  14. pinkpink

    JamiiForums Tanzania SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

    someone please explain to me about this series naona wengi wanaishadadia alafu naona ya kawaida, inahusu nini kwani
  15. pinkpink

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inaumiza !! Bado nahitaji kuishi na kufurahi

    Nimejifunza kwenye mapenzi kama mpenzi wako hakupendi hakupendi tu..muache fanya yako, maisha yenyewe mafupi haya.
Back
Top Bottom