Recent content by pilato007

  1. pilato007

    JamiiForums Tanzania Russia yadai kuirejesha Alaska toka kwa Marekani

    Hahaha kweli vodka sio chai
  2. pilato007

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata kazi za remote katika mashirika ya kimataifa yaliyo nje

    Mkuu ni vyema ungekuwa na busara kidogo sijaona popote uongo au utapeli wa mleta mada. Labda kama wewe umeweza kuuona unaweza kutufungua macho. Lakini mleta mada ameongea ukweli mtupu na ndivyo dunia inavyoenda kwasasa
  3. pilato007

    JamiiForums Tanzania Dunia na Afrika Mashariki waiangalie Rwanda kama nchi ya miaka 25-30 ijayo, isihangaike na mtu mmoja tu anayeiongoza kwa sasa

    Kagame.anatukuzwa sana ila ameshindwa kuweka mifumo imara na endelevu ndani ya serikali yake.
  4. pilato007

    JamiiForums Tanzania Shemeji yenu kaanza timbwili za Umama Kijacho mapema sana wadau. Hivi ni kwanini?

    Mvumilie mkuu kwani ndio mtoto wenu wa kwanza au?
  5. pilato007

    JamiiForums Tanzania Je, hawa watoto wa mjomba wangu waliwezaje kuwa wanajeshi wa Nchi ya Rwanda?

    Connection tu mkuu unataka na wewe???
  6. pilato007

    JamiiForums Tanzania Kwanini mwanamke akiombwa na mganga wa kienyeji lazima atoe ?

    Mimi ni mganga kutoka sumbawanga unataka huduma??
  7. pilato007

    JamiiForums Tanzania "Mficha Uchi hazai". Nimeamua kuja kupasua jipu

    Daah hapana chezea jf kwa kweli kaburi limesha fukuliwa tayar
  8. pilato007

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Apson Mwang’onda afariki Dunia nchini Afrika Kusini

    Hakika idara imepoteza jembe la kazi....Polen sana wafiwa na familia nzima ya marehemu mzee Apson
  9. pilato007

    JamiiForums Tanzania Usalama wa Taifa hutangaza nafasi za kazi ila sio direct kama watu tuvyofikiria

    Kila mwanachi ana jukumu la kulinda nchi yake, hivyo chief wewe pia ni usalama wa taifa.
  10. pilato007

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kuonekana kwenye Tv ( taarifa ya habari) kwa bahati mbaya tukutane hapa

    Na sisi wengine tulionekana kwenye clip ya harmorapa akikimbia bastola... .. tu comment wapi mkuu!?
  11. pilato007

    JamiiForums Tanzania Hivi huyo jamaa ambaye ni DC Hai ni undercover?

    Unataka ujue Ili ikusaidie nini mkuu!??
  12. pilato007

    JamiiForums Tanzania Kanyeeeeela Mumo Part 2

    Nakushauri mkuu pusha unae mtumia anakupa doz siyo badili kijiwe
  13. pilato007

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania imetangaza kutonunua korosho msimu ujao

    Haswaaa
Back
Top Bottom