[emoji599] BREAKING: Liverpool wanatazamiwa kumzawadia mshambuliaji Diogo Jota kwa mkataba mpya mnono kama zawadi kwa mwanzo mzuri wa maisha yake ya soka hapo Anfield.
Mazungumzo ya mkataba yanapaswa kuongezwa kwa mchezaji huyo wa kimataifa wa Ureno. Jota amekidhi matarajio ya utendaji kazi...
Mtoto huyu mdogo ndiye pekee aliyesalia katika familia yake. Wenyeji wanasema hawakuweza kupata mtu yeyote wa familia yake aliye hai. Anaonekana kama mtoto wa miaka 3.
We jinga kweli, maendeleo gani ya kuwatoa watu kwa nguvu kwenye aridhi yao kwa maslahi ya watu wachache...
Majitu kama wewe ndo yanayo turudisha nyuma kwenye taifa hili!
Wajanja wanachanja mbuga kuimarisha taasisi yao ili waendelee kula maisha mazezeta hapa JF yanashabikia kwa kuinanga Chadema huku yakizidi kuwa masikini siku hadi siku!
Ujinga ni ugonjwa mkubwa sana![emoji26]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.