Recent content by Photo me

  1. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke nina 40yrs

    Nimeachwa na mke!nina watoto wawili ila huyu wa pili nina mashaka kama ni wangu!mke wangu amejitahidi sana kunioneshea kuwa sina changu ila nilikuwa nampotezea sana.Ameamua kuolewa kinyemela sitaki kukamata ugoni!Sitajali akiwa na mtoto mmoja.Nahitaji mtu anayejua maisha.Samahani sitahitaji...
  2. P

    JamiiForums Tanzania UDOM wajiuza, UDSM waanza

    Poleni wadogo zangu kwani ni jambo la kusikitisha sana iwapo mtoto wa kike ataamua kujiuza kwa kupata pesa ya kujikimu kwa vile kacheleweshewa boom!Kugoma au kutumia violence kudai haki ni sawa lakini hata ukimgomea shetani unadhani atakuonea huruma?Nchi inayoongozwa na viongozi wenye huruma...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Vita ya Baraza la Wafamasia (Pharmacy Council) na TFDA inavyoangamiza Afya za watanzania

    Hawa Pharmacy council na TFDA viongozi wote ni wafamasia ingawa TFDA inahusisha madaktari na wanasiasa pamoja na wataalamu wengine.Kama vile haitoshi hata MSD viongozi wake ni wafamasia!Waliogawa dawa feki hospitali za serikali ni wafamasia!(Serikali imewaajiri sana wasilete wimbo wa kufichia...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kazi ya mfamasia Tz ni nini?

    Nasikitika kusema kuwa wafamasia wetu hawajiamini,hawafanyi kazi yao ipasavyo,na wengi wameishia kuweka vyeti vyao kwenye maduka ya dawa na kuwaachia watu wasio na ujuzi kuuza dawa!Is ajabu kusikia ARVs feki zinatolewa kwa wagonjwa tena katika hospitali za umma!Leo nimesikia tena kuna vipimo...
  5. P

    JamiiForums Tanzania wenye diploma ya MEDICAL tuwaitaje au nao ni MADOKTA??????

    Je umewahi kuwaita kwa majina yao wakakulazimisha uwaite doc?wanaitwa maafisa tabibu!ingawa neno tabibu kwa kiingereza ni Physician!Physician ni jina analopewa daktari bingwa aliyesoma internal medicine!Jambo nililojifunza hii wizara ya afya wamerithi sana tamaduni za kichawikichawi labda kwa...
  6. P

    JamiiForums Tanzania wenye diploma ya MEDICAL tuwaitaje au nao ni MADOKTA??????

    Je umewahi kuwaita kwa majina yao wakakulazimisha uwaite doc?wanaitwa maafisa tabibu!ingawa neno tabibu kwa kiingereza ni Physician!Physician ni jina analopewa daktari bingwa aliyesoma internal medicine!Jambo nililojifunza hii wizara ya afya wamerithi sana tamaduni za kichawikichawi labda kwa...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kura ya maoni: Edward N. Lowassa v/s Bernard K. Membe

    Who's an angel?ni wakati wa watanzania kuchagua rais mwenye uthubutu wa kutumia rasilimali tulizonazo kwa manufaa ya wananchi.Mapungufu yanaweza kutokea kwa njia ya kuwajibika kutenda(commit) ama kupuuza na kutokutimiza wajibu(omission).Wengi wetu tunamuhukumu mtu kutokana na makosa aliyofanya...
Back
Top Bottom