UDOM wajiuza, UDSM waanza

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,069
2,000
Huku Chuo Kikuu cha Dodoma-UDOM kikiandamwa na kashfa ya wanafunzi wake wa kike kujiuza kwa ajili ya kujikimu,hali ndani ya Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam-UDSM si shwari. Wanafunzi wa UDSM sasa wapo kwenye hali mbaya kiuchumi.Wameishiwa. Sasa wanafunzi hao wapo kwenye juma la nane tangu wafungue chuo. Walipofika walipewa fedha za kujikimu kwa ajili ya miezi miwili ya mwanzo ambayo tayari imeshakwisha.Sasa kula na kunywa ni mbinde.

Jana,kulikuwa na rabsha za hapa na pale UDSM wakati wanafunzi walipojaribu kushinikiza kupewa 'boom' lao lililobakia. Hali hii haiwezi kusababisha kashfa kama ya UDOM? Kwanini Bodi ya Mikopo inapiga danadana huku mafisadi yakiendelea kuiba tu? Wanachuo msikubali.Pambaneni mpate haki yenu.Nina wasiwasi mkuu...
 

kibol

JF-Expert Member
Apr 24, 2012
4,445
2,000
Swala la kujali muda ni tatizo kubwa sana nchini Tanzania na Africa kwa ujumla wake,kama pesa waliyopewa niya miezi miwili na bodi kwa kuzingatia tar waliyowapa fedha walikua wanajua fika kuwa miezi miwil inaisha lini,kwa nini wasingejipanga mapema wawape fedha zao?au mpaka watu waandamane halafu waseme kizazi hichi kimekosa uvumilivu ndio wawape,hivi mtu unaweza kuwa mvumilivu ukiwa na njaa?migogoro na matatizo mengine inasababisha bodi yenyewe ya mikopo
 

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,069
2,000
Pale UDSM sio jambo geni binti kujiuza,kuna jamaa yangu alibeba mzigo Billicanas akalala nao wakaachana kumi na moja na nusu asubuhi wakakutana Nkrumah hall kwenye lecture ya DS saa tano asubuhi

Ni kweli Baba V.Miak ahiyo hata mimi nilikuwepo na kusimuliwa kisanga hicho kilichokuwa chamoto kabisa...
 

Photo me

Member
Nov 11, 2012
7
0
UDSM kujiuza ni kawaida miaka hiyo nakumbuka rafiki yangu alikula mzigo pale Rozana buguruni kesho yake wakakutana dining kujisomea mabibo hostel.
Poleni wadogo zangu kwani ni jambo la kusikitisha sana iwapo mtoto wa kike ataamua kujiuza kwa kupata pesa ya kujikimu kwa vile kacheleweshewa boom!Kugoma au kutumia violence kudai haki ni sawa lakini hata ukimgomea shetani unadhani atakuonea huruma?Nchi inayoongozwa na viongozi wenye huruma hata mfungwa akigoma kula lazima watashtuka na kuwasikiliza!jaribu tanzania uonane na ziraili na viongozi ndo kwanza watakupotezea kana kwamba unathamani ya mdudu tu!Jipeni moyo saa ya ukombozi inakuja!
 

Nyakageni

JF-Expert Member
Feb 1, 2011
14,841
2,000
Pale UDSM sio jambo geni binti kujiuza,kuna jamaa yangu alibeba mzigo Billicanas akalala nao wakaachana kumi na moja na nusu asubuhi wakakutana Nkrumah hall kwenye lecture ya DS saa tano asubuhi

duh! Hii kali, sijui walihamaki? Walitabasamu?
 

mfianchi

JF-Expert Member
Jul 1, 2009
9,775
2,000
Hata Mzumbe hali ni hiyo hiyo vijana wetu wanapata shida,wakati akina Kinana wanasafisha kaniki ya kijani huko mikoani kwa raha zao
 

SODOKA

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,665
2,000
acha mambo ya ujin+++ga,,,ongea na REFERENCES,,,,,sie mbona tuko FRE SH TU
 

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
34,984
2,000
Pale UDSM sio jambo geni binti kujiuza,kuna jamaa yangu alibeba mzigo Billicanas akalala nao wakaachana kumi na moja na nusu asubuhi wakakutana Nkrumah hall kwenye lecture ya DS saa tano asubuhi

Haaaaaaaaaaaa DS 101 na Nkurumah tena au Theater I au II.......Ugumu wa maisha sio ndio 7bu ya kujiuza,kama wana ukata wauze simu au waweke bondi tv,radio,laptop ili waweze kujikimu....
 

Chibolo

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
4,347
2,000
Haaaaaaaaaaaa DS 101 na Nkurumah tena au Theater I au II.......Ugumu wa maisha sio ndio 7bu ya kujiuza,kama wana ukata wauze simu au waweke bondi tv,radio,laptop ili waweze kujikimu....
ni ukumbi wa yombo1 tena lecture ya saa 1 asubuhi ya prof Horoub wakati huo,nakumbuka sana make nilikuwepo by then.
 

KASHOROBANA

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
3,244
1,500
Swala la udom ni janga...nimejionea na nina ushahd...

eh jaman ii serikali dhaifu sasa mbona inawaatarisha dada zetu? basi Mungu awanusuru na maradhi maana km k**a ni za kununua basi ata wenye maradhi ya hiv nao watanunua pia
 

Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,313
2,000
Lengo la kikwete na ccm ni kuhakikisha taifa halizalishi wasomi wa kuweza kuchallenge km dr slaa. Dawa ni kuwaharibu kisaikolojia. Tatizo mitanzania ni mijitu ya ajabu sn,pamoja na haya yote lkn fisadi atakapopita pale udom na udsm wanafunzi hawa hawa watamchangia pesa ya kuchukulia form.
 

Good Guy

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
3,780
2,000
Haaaaaaaaaaaa DS 101 na Nkurumah tena au Theater I au II.......Ugumu wa maisha sio ndio 7bu ya kujiuza,kama wana ukata wauze simu au waweke bondi tv,radio,laptop ili waweze kujikimu....

me mwenyewe nimechangaa chiku hizi DS inapigiwa Nkuruma! Haha fail hiyo uliepost hii jipange na source zako
 

ginde

Member
Nov 26, 2012
41
0
Nimefuatilia kwa makini hii kashfa ya ngono isiyo halali Udom nimegundua mwandishi wa habari hizo hakufanya uchunguzi wa kina hivyo hana hoja (no research no say) anataka kuchafua sifa nzuri ya chuo hicho.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom