Habari wana jf
Ni matumaini yangu sote tunaendelea vizuri na majukumu yetu mbalimbali yanayotukabili. Lakini pia hatukosi muda wa kukutana hapa jamvini na kupeana mambo kadha wa kadha.
Leo hii mimi napenda kuongelea mwenendo wa lugha yetu hii adhimu ambayo imetufanya kuwa na utambulisho wetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.