Mwanamke kuvaa shanga anamaanisha nini?

Mwanamke kuvaa shanga anamaanisha nini?

stickvibration

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2017
Posts
3,223
Reaction score
5,150
Habari zenu wakuu,,Mimi hua najaribu saana kulifiatilia hili swala la mwanamke anaevaa shanga..

Anavaa kama urembo au kukupa hamasa mwanaume wakati mki shughulikiana au anavaa kama ni Fashion tu?
 
Mama teli (kama sijakosea jina) aliwahi sema asilimia tisini ya mawazo ya tz ni ngono tu,akaendelea mbele zaidi kusema atawale watungaji wa sheria pale Dom wanapenda hii kitu ushahd wakati wa vikao machangu uwa wengi vikiisha nao wanaondoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujakuwa kijana sisi wazee wa kanda ya ziwa huwa tunanogewa sana unakuta mtoto wa kijita kazipangilia shanga lazima udate ukute mtoto kiuno kinazungushwa kama feni
 
Habari zenu wakuu,,Mimi hua najaribu saana kulifiatilia hili swala la mwanamke anaevaa shanga..

Anavaa kama urembo au kukupa hamasa mwanaume wakati mki shughulikiana au anavaa kama ni Fashion tu?
Anamaanisha papuch yake sio ya mchezo mchezo ukiingia hutoki pia kule kwetu lengende ni kiashirio kuwa amekeketwa amefuata mila za mizimu hapa mjin dsm naonaga waliokeketwa weng tu maana ukivaa shanga umekeketwa umetaka ndo hivo hautaki ndo hivo hongeren mliokeketwa endelezen mila kwa kuvaa shanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom