Recent content by philosopher1

  1. P

    Kwa vijana wenye biashara kipato kati, kuna mbia anawahitaji

    Kwa wale wenye nia ya kweli na wanaotaka kufanya biashara katika mazingira yenye uaminifu, kkuna mchina yuko tayari kusponsor biashara yako, isipokuwa kwa sharti moja , malipo yafanywe kwa bank, through letter of credits, utatoa deposit asilimia 30% atagharamia asilimia 70, utamlipa asilimia 8%...
  2. P

    Natafuta kazi, nina experience ya sales na marketing

    Uko wapi unaweza kuuza mabati piga 0653835995
  3. P

    Salesman wanted

    Kiwanda cha mabati , tabata segerea vijana wa sales wanahitajika haraka , piga 0653835995
  4. P

    PICHA: Yaliyojiri Bungeni - Sugu akiburuzwa ili atoke nje ya bunge!

    Watu wanohoji mengi serikalini huwa mara zote, serikali tawala hutumia njia hizi kuwazimia nyota zao, hakuna ubaya kwa mtu kuhoji yaliyojiri, na kupendekeza jambo jipya hata kama ni mbishi kuna njia za kidiplomasia , na si kutumia nguvu kwa kila jambo, hapo ni askari wa bunge, bunge Zima, na...
  5. P

    Nimependwa,nimependa mtu simjui

    kojoa kalale, usijaze server
  6. P

    Msaada wa bei za machine za kukoboa, kusaga na kupack unga wa mahindi

    Nipe email yako au namba ya simu nitakujibu na kukupatia quotation toka china,
  7. P

    Ni kweli utamaduni huu upo??

    Hakuna mtu anyezaliwa na kuchagua tamaduni, wenye upeo wa uchambuzi wao hujiongoza vema,lakini wale wasio na upeo yakinifu wapaswa kuelimishwa na jamii,serikali na vyombo vya habari,
  8. P

    Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani

    wewe unajua unachokisema, wengi hawayajui haya vizuri,
  9. P

    Mwanaume Mwenye Pesa Ndio Mpango Mzima Haina Ubishi! Ila, It's More Complicated than that...

    Yes but you can not justfy the action of your parents(father/mother) than all men should treat you same, unajua mwanamke ukiwa independent na imani utakuwa na furaha sana, hata huyo jamaa yako wa mwisho naona kama unamvumilia tuh , lakini we binafsi ukitafutia pesa yako mwanaume hakusumbui kitu...
  10. P

    Mwanaume Mwenye Pesa Ndio Mpango Mzima Haina Ubishi! Ila, It's More Complicated than that...

    Wanawakeeee, kwa nini ufikirie akupatie pesa si utafute za kwako, kwani yeye ATM unabahati sana ahata jamaa anakutoa out unapotaka, mi ningejifanya mgonjwa sometimes
  11. P

    Mtawa Mkatoliki apigwa Zanzibar

    ‘They surely are infidels who say that God is the third of the three’ [Quran 5:73] and urged them to ‘believe therefore in Allah and His messengers, and say not, Three (Gods)’ [Quran 4:171]...
  12. P

    Nisaidieni jaman mke wangu ataniua

    Wakati mwingine wanawake huwa wana protection measures zao, anawezakuwa anakuhisi unavutiwa na jirani au rafiki yake , aka amua kukupatia vitu ili usahau huko, au amesoma katika maandiko flani kuhusu mapenzi, hiyo isikutishe sana ni nia ya kukuweka sawa, na pia kuna siku kadhaa anapokaribia...
  13. P

    Askari JWTZ mwenye asili ya Rwanda atoroka jeshini!

    Tanzania inaongozwa na vilaza kwelikweli, Jambo la kushangza Nchi haina kitambulisho maalum cha Uraia, Haina Mwongozo mzuri wa kutoa Uraia, tulikaribisha wakimbizi toka Rwanda leo wako sehemu muhimu kwa taifa awe koplo au GENERAL, nI KOSA KWA RAIA WA KIGENI KUWA POST HIZO. taifa hili kweli la...
  14. P

    Mtu asiyejulikana agawa fedha jijini Dar

    Chanzo cha fedha ni muhimu kujulikana kwanza kabla hujapokea fedha yake, you can not believe in God existence if you do not believe in existence of Devil , other wise your believe will be in vain because you will not be able to questions your faith, unquestioned faith is not faith at all but an...
  15. P

    Wazanzibari wakivunja Muungano 'itawakosti'

    I think a baby think is grown up enough now to depend on himself not parents anymore, we can not keep him locked forever inside, and if we do lets expect that at night time when we sleeping he is Jumping the wall and go out, consequence might be on we might never know who is meeting there, he...
Back
Top Bottom