Nimependwa,nimependa mtu simjui

Nimependwa,nimependa mtu simjui

Hata mimi kuna mdada nahisi anawivu na huenda ananizimikia ila tu huwa hasemi na haishi kunifanyia visa.
Yaani kuna wakat nikimpigia simu mke wangu, huyo mdada huwa anapokea haraka haraka halafu huishia tu kusema "The subscriber you're calling is not available at present, please try again later"...
Mkuu umeua!
 
Afu nyie vjana mnamatatizo sana hivi unaanzaje kumwambia mtu unampenda cku moja ama mbili tena bila kumfahamu? Kisa amekosea ama umekosea no? Kuna limtu hivyhvyo lilikosea likanipgia cku 2 tuu ooh vimeenda vmerudi madohido mengi! Kah nilimkomesha hakurudia tena ujnga wake!
prove...
 
Ndg mtoa mada km nikweli hayo unayosema plz Nakuomba kjna mwenzangu! achana nahuyo mschana! Atakuharibia maisha nina rafiki yangu 1 tena anafamilia alijichanganya kwa mschana wa dzain hiyo Ameteseka sana! Ameharibu maisha imebidi aanze upya! Ingawa kwa ss cjui anakoishi lkn ikitokea nakutana nae nitamuomba Ruhusa akikubali nitamwaga story yake Naamini hakuna mtu atakae tamani hao wanawake wa nakupenda sana unakuja lini kunitembelea ni HATARI kuweni makini vijana!
 
Ndg mtoa mada km nikweli hayo unayosema plz Nakuomba kjna mwenzangu! achana nahuyo mschana! Atakuharibia maisha nina rafiki yangu 1 tena anafamilia alijichanganya kwa mschana wa dzain hiyo Ameteseka sana! Ameharibu maisha imebidi aanze upya! Ingawa kwa ss cjui anakoishi manake amehama hd mji lkn ikitokea nakutana nae nitamuomba Ruhusa akikubali nitamwaga story yake Naamini hakuna mtu atakae tamani hao wanawake wa nakupenda sana unakuja lini kunitembelea ni HATARI kuweni makini vijana!
 
Mmh hizi mambo za kumpenda mtu usomjua sio...
niliwah kuchat na jamaa ana saut nzur yan nkitok nae napga pcha jamaa mrefu,handsome,ana body ya kiume kuja kumuona uwii yupo kama ndizi sukari,ana upara,kichwa chake kama cha chepe nyg zote kwisha!

nilikua nimenuna kweli,ila imebd nicheke2!...,wadau kwa kupaka mbovu hamjambo!..,asante kwa kuniongezea uhai bana!
 
nilikua nimenuna kweli,ila imebd nicheke2!...,wadau kwa kupaka mbovu hamjambo!..,asante kwa kuniongezea uhai bana!

Hata sio kupaka ni kweli kabisa,tena mwnyw ananambia mie si mrefu wala si mfupi kumbe andunje,sitarudia tena kujifanya nampenda mtu nisiemjua.
 
Back
Top Bottom