Recent content by phil_kabuje

  1. phil_kabuje

    Kwanini katika Walinzi wengi wa Marais duniani kuna mmoja huwa anavalia miwani myeusi?

    Kwanza Mara nyingi huwa wawili au zaidi. Na sababu kuu ziko kama 4 hivi 1. Hutengeneza Hali ya Utisho (Sense of Intimidation ) kwa Adui 2. Kuzuia Jua 3. Miwani myeusi humsaidia asijulikane upande anaoutazama hutajua Kama anakutazama we we 4. Kila nchi/Utawala (siyo wote) Wana installations...
  2. phil_kabuje

    Book reading: Unasoma au Umesoma kitabu gani ungependa wengine wakisome?

    Viko vingi sana kwenye bookshops! Kama hujapata ni PM ntakutumia link ya PDF
  3. phil_kabuje

    Book reading: Unasoma au Umesoma kitabu gani ungependa wengine wakisome?

    Kwa Uzi huu nimeelewa kwann walisema ukitaka Kumficha Mbongo ficha kitu kwenye Kitabu! Anyway my best book is "The Measure of A Man" Martin Luther King.. The Very few Pages you'll never regret reading
  4. phil_kabuje

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Wote humu mmeshindwa! Mi ndo wa mwisho na Mshindi
  5. phil_kabuje

    Benchi lipi linatisha zaidi.

    Hiyo Barca haifikii ile ya xavi iniesta na Messi wala hiyo Madrid haina kitu kwa hii ya sasa.. Tutagundua hili baada ya miaka kumi kupita Tena
  6. phil_kabuje

    Mwanza: Amuua mke wake kwa kumpiga risasi, naye ajiua

    Aliyeanzisha hii kitu inaitwa Haki Sawa ndo kaleta hizi shida zote.. Maana Roho zetu na Miili yetu iliumbwa ikimtambua Mwanaume juu ya Mwanamke, Tunachofanya nikupambana na Nature, Matokeo Yake mwanamke anataka afanye kila afanyacho mwanaume, na Mwanaume hayuko Tayari kuona utawala wake upo...
  7. phil_kabuje

    Wengi hawayajui haya kuhusu Tupac Omar Shakur (2pac)

    Asante mdau but hata hilo sio jina lake halisi.. jina lake la kuzaliwa ni Lesane Parish Crooks
  8. phil_kabuje

    Wengi hawayajui haya kuhusu Tupac Omar Shakur (2pac)

    Sikusema watu wote hawajui mdau... nilisema ni wengi, kama humo kati ya hao wengi, sio kesi mkuu (japokuwa najua kuna baadhi ya fact hapo ulikua huzijui na umefurahi kuzijua hata kama hutakubaliana na mimi)
  9. phil_kabuje

    Umuhimu wa kunywa maji ya Limao asubuhi

    Wadau ukipata muda cheki hii post 1.Huongeza Kinga yako ya mwili hasa kupambana na magonjwa madogo kama mafua, na kikohozi kutokana na kuwa na vitamin C 2. Husafisha Mfumo wako wa chakula, kuondoa sumu mwilini na kuzuia tumbo kujaa gesi mara kwa mara 3. Huleta hewa safi kinywani. Ni Muhimu...
  10. phil_kabuje

    Wengi hawayajui haya kuhusu Tupac Omar Shakur (2pac)

    1. Alipouawa, mwili wake uliteketezwa kwa moto (kwa mujibu wa tamaduni zao), cha ajabu wafuasi wake wa "outlaws" walichukua majivu yake, wakachanganya na bangi na kuvuta! 2.Neno lake la mwisho kulisema kabla ya kifo chake ni neon "F*ck you!" alilomuambia askari aliyemuuliza ni nini kilikuwa...
  11. phil_kabuje

    Ni mikoa Ipi inaongoza kwa kuwa na wakaaji wengi dar es salaam? (na maeneo wanayofikia kwa dar)

    hahahahaa! Ushaambiwa eti wanakaa masaki mbezi beach nafikiri pale buguruni wamewaachia wenye mitaji midogo!
  12. phil_kabuje

    Msaada wa kupata youtube

    download adobe flash player itakuwa ndo shida
  13. phil_kabuje

    Ni mikoa Ipi inaongoza kwa kuwa na wakaaji wengi dar es salaam? (na maeneo wanayofikia kwa dar)

    Pole sana Kijana kwa kuonesha ni jinsi gani unamawazo mgando "always take into account all factors of the post before u reply" sio unahusisha ukabila moja kwa moja! Ukichapa kazi masaa 24 mpaka weekend utakuwa kichaa... inahitaji ujichanganye na idea mbalimbali ili ukue kiakili...:sleepy:
Back
Top Bottom