Recent content by phamtom

  1. phamtom

    Special Thread ya Dar Mpya: Paul Makonda afanya Ziara Jijini la Dar kusikiliza kero za wananchi

    Sasa wewe Makonda wewe unafanya kazi gani mbona Hatujaona mafanikio yeyote kutoka kwako ktk jiji letu huna unacho kifanya na mpaka utaondoka madarakani hutokua na ulicho fanya kikubwa ukiachilia mbali Kidogo acha kujipendekeza
  2. phamtom

    Maalim Seif: Jeshi la Polisi na Prof. Lipumba wanashirikiana kuihujumu CUF

    Sasa nini tufanye hususan wanachama wa CUF
  3. phamtom

    Mwanamke kumleta nyumbani mwanaume waliosoma nae, hii imekaaje?

    Inaitaji uvumilivi mkuu kuamni kitu usichokijua
  4. phamtom

    Bomu hatari duniani lipo Russia!!

    Hii yote ni akijili ya nini kuua watu
  5. phamtom

    Mwanamke kumleta nyumbani mwanaume waliosoma nae, hii imekaaje?

    Nitaongeo nae ila ndo iwe mwanzo na mwisho
  6. phamtom

    Mwanamke kumleta nyumbani mwanaume waliosoma nae, hii imekaaje?

    Atajisikia vibaya sana kwa jinsi ninavyo mjua
  7. phamtom

    Mwanamke kumleta nyumbani mwanaume waliosoma nae, hii imekaaje?

    Nijenge urafk kwa lipi Sina muda leo ndo nitazungumza nae nilimuacha Jana kwa kwa leo nyumbani kuna duaa ningemuanzishia Jana huenda leo asingepika chakula cha masheikh
  8. phamtom

    Mwanamke kumleta nyumbani mwanaume waliosoma nae, hii imekaaje?

    Nilichukia sana Jana na mpaka Leo nimechukia sana nikimuona tu kasheshe Itakua leo atanieleza ni kwanini kumleta
  9. phamtom

    Mwanamke kumleta nyumbani mwanaume waliosoma nae, hii imekaaje?

    Kwa hiyo unataka kuniambia ameniona bwege sio
  10. phamtom

    Mwanamke kumleta nyumbani mwanaume waliosoma nae, hii imekaaje?

    Tatizo ni kwmaba kwanini akuniambia mapema mpaka nimpigie cm kumuuliza habari zingine na Yeye aniambie alikua ameenda kumpokea mgeni why
  11. phamtom

    Mwanamke kumleta nyumbani mwanaume waliosoma nae, hii imekaaje?

    Hii imekaaje mkeo kumleta mtu waliosoma nae mwanaume nyumbani kwako alafu unafika nyumbani anakutambulisha huyu nimesoma nae. Kama ni wewe unalipokeaje alafu ni usiku na anmshindikiza wewe upo ndani itakua kwenye hali gani na utafanyaje.
  12. phamtom

    Msaada kuhusu king'amuzi cha Startime

    Nakerwa na alama ya sms kwenye kisimbusi cha startime kwenye TV yangu msaada namna ya kutoa
  13. phamtom

    Mgeni anakuja unaomba msaada wa kujengewa msikiti

    Hivi hujui zinapo jengwa nyumba za ibada mungu analeta rehma waumini watakapo swali hivi wewe huna imani au unachuki binafsi na Islam alafu huwezi kumpangia mtu anaetaka kuku saidia msaada
  14. phamtom

    Ukicheki hizi movie, hutajutia

    Nitazipata wapi kwenye cm mkuu
Back
Top Bottom