Recent content by Phamarcist

  1. Phamarcist

    JamiiForums Tanzania Huu Utekaji wa Abdul Nondo unaleta maswali kadhaa ya kufikiria

    Kuna game inachezwa apa, mwisho dogo atapatikana tu.
  2. Phamarcist

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania yafanya Uboreshaji mkubwa wa Mtandao ili kuhakikisha mustakabali imara na wa muunganiko zaidi

    Ila kwenye hili suala la mgodi mmejua kunikomoa, week sasa siwezi ku withdraw. Na hakuna msaada ninaopewa.
  3. Phamarcist

    JamiiForums Tanzania Nawasihi Watanzania tuache kujiteka

    Kama hujawahi kuingia kwenye mikono ya polisi wa kitanzania una haki ya kuandika huu uchafu. Shida ilianzia pale kwenye TANU YOUTH LEAGUE.
  4. Phamarcist

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najuta! Madada Poa wa Morogoro sio poa kabisa

    Pole chief inaonekana bado hujafikia level ya kuwa mndewa kwenye tasnia husika, Miaka hiyo! Nikiwa bado kijana wa makamo nasoma (advance) mwanza wilaya X shule X, nilikua na desturi nikifika stend enzi hizo stend ipo nata magari yanaingia usiku nilikua naenda sehemu moja hivi inaitwa makoroboi...
  5. Phamarcist

    JamiiForums Tanzania Forex ni Aviator Game kwa 100%

    Ndio maana kuna market makers strategies
  6. Phamarcist

    JamiiForums Tanzania Ni pombe gani haina alcohol kubwa nataka nianze kuutwika maisha yamenishinda

    😀😀😀😀😀 pombe ambazo hazina alcohol kubwa zote ni expensive, kwakua unaingia kwenye ulevi sababu ya maisha magumu huna haja ya kuiangalia kias cha alcohol we utwike tu.
  7. Phamarcist

    JamiiForums Tanzania Je, upo mkono wa Israel kwenye ajali ya Rais wa Iran?

    Huu utumwa wa kifikra sijui utaisha lini.
  8. Phamarcist

    JamiiForums Tanzania SoC04 Maonyesho ya Kijeshi yajikite zaidi kwenye kuonyesha uvumbuzi wa silaha na vifaa vya kivita

    Mmechoka kuwaangalia wale washkaj wanaobeba magogo na kukunja nondo hahahaha
  9. Phamarcist

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hiki kinachofanyika hapa kwenye ligi kuu ya bongo ni dhahiri Yanga atakua bingwa kila msimu!

    Hii ndio shida ya mashabiki wa simba wapo bize kuifatilia yanga kuliko kudeal na timu yao.
  10. Phamarcist

    JamiiForums Tanzania Labda anitekenye

    Eddie Griffin
  11. Phamarcist

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya mshahara wa sh. 400,000

    Hiyo 40000 ya sadaka ungetoa hapo, watu wanaotakiwa kutoa sadaka ni wale wenye surplus kwenye vipato vyao.
  12. Phamarcist

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu naomba kujua kampun bora ukiacha betpawa na parimatch ambayo haisumbui deposit
  13. Phamarcist

    JamiiForums Tanzania Yanga acheni Ushamba, barua mliyoandika ni ishara ya kukosa ukomavu

    Hii inadhihirisha ni kwa namna gani mechi ya yanga vs mamerodi ilikua kubwa, stories zilianza before na mpaka sasa tupo after bado mnaiongelea game hiyo hiyo. Muandishi inaonekana ni mfuasi wa kolozidad kindakindaki na kinachowatesa ni jitihada aliyoionyesha yanga hamkutarajia. Waliobaki...
  14. Phamarcist

    JamiiForums Tanzania Bila Waajemi kuingilia kati, leo hii Syria, Lebanon, Palestina yote na sehemu kubwa ya Misri zingekuwa zimechukuliwa kwa nguvu na Israel

    Uzi ungekua mzuri kama tungeweka pembeni interests na imani zetu, let the facts speak for themselves.
  15. Phamarcist

    JamiiForums Tanzania Hivi kile kipimo cha kauli ya Mzee Kikwete, kuwa labda "mambo yaharibike sana", hakijatimia?

    Mambo yamesha haribika tayari, sasa hivi tunasubir yaharibike sana.
Back
Top Bottom