Recent content by PHALTEND

  1. PHALTEND

    JamiiForums Tanzania JKT ulipiga kambi gani? Karibu tukumbushane

    "Haya kurutu main gate kwa kusekwa Mifugo lia gate CP n'a kamata watano " Nimepita OP Kikwete 842 KJ
  2. PHALTEND

    JamiiForums Tanzania Bora kununua papuchi kuliko kutengeneza mahusiano ya kimapenzi

    Hapa umezungumzia manzi ambao unamahusiano nao kimapenzi ndio wanagharama sio mke kama mke nduguyang, mke ataanzia wapi kukupa gharama kama hizo unazolist hapo . Japokuwa ni kweli kwa upande wako. Ila mi naona ukiwa na mke ndio magoli zaidi gharama zinapungua zaidi maana utakua unapiga kila...
  3. PHALTEND

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Hapana wa kirutheri kkkt I mean. Na hauna io verse.
  4. PHALTEND

    JamiiForums Tanzania Kwanini usalama unapuuzwa kiasi hiki na Serikali ipo?

    Ipo hivi, Mwenzenu katika swala hili nimeangalia clip nyingi zilizorekodiwa na watu mbalimbali na nimeshuhudia kwa macho yangu kuhusiana na mwendokasi wa bus za abiria hasa za mikoani. Tena baadhi ya miendo, matendo na maamuzi ya madereva wa mabasi hayo yamekuwa yakijirudia. Sasa unajiuliza...
  5. PHALTEND

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Aisee kuna wimbo nautafuta siupati unaimba 'nitakwenda peke yangu nasikia kuitwa naye' ni wa dini anyone anisaidie tafadhali..
  6. PHALTEND

    JamiiForums Tanzania Leo nimemaliza kuiangalia BREAKING BAD. Hakuna series tamu kuliko hii duniani

    Yani mi huwa nasemaga 'wale Watu' tu ndio huwa tunaelewa movies kali hio series acha kabisa ni nouma na inarank namba uno kwenye series zinazohusiana na drugs
  7. PHALTEND

    JamiiForums Tanzania Nahisi ananipenda

    Muokoe sister wa watu pengine anahitaji sana mwanaume. Msaidie bhana ye hawezi kukuanza muanze tu usiwaze. Ila jua tu siku ya kukutana tu ndio anaupata ujauzito.
  8. PHALTEND

    JamiiForums Tanzania Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    Una umri gani nduguyang, je umedhamilia kweli? Kumbuka muda haurudi nyuma na usije ukafika uzeeni ukaanza kujilaumu kwann hukutumia ujana wako. Kama we ni kijana kama mimi tumia muda huu kutimiza maagizo au kuenjoy. uzeeni ndio ufanye hilo zoezi lako.
  9. PHALTEND

    JamiiForums Tanzania Je, Wanaume wanaogopa ku-date na Wanawake waliowazidi kipato?

    Sio kuogopa bali ni ukweli uliopo katika situation za ivo. Huwa inadaiwa kua inawezekana wakaishi vizuri lkn huwa ni pale mwanzo tu mwisho wa siku wanawake wanasahau nafasi ya mwanaume na mwanaume yoyote asipotumia opportunity mwanamke kuwa na uwezo kuliko yeye kufanya kazi vizuri na vizuri...
  10. PHALTEND

    JamiiForums Tanzania Kesi ya aibu

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  11. PHALTEND

    JamiiForums Tanzania Ushauri gani ambao ulishawahi kupewa na Mzazi wako kuhusu mahusiano?

    Bi harusi Mkubwa aliwahi niambia usije ukasumbuka na mwanamke unaempenda afu unaona kabisa anazingua, bora uoe yule anaekupenda kwa dhati kuliko unaempenda wewe. Huyu anaekupenda unaweza kujifunza kumpenda.
  12. PHALTEND

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna muvi Kali zaidi ya Bourne identity?

    Zipo nyingi nzuri tu, but kulingana na mfano uliotoa angalia FROM PARIS WITH LOVE utaipenda. Ukiikubali sema ntaje nyingine.
  13. PHALTEND

    JamiiForums Tanzania Six ways men can escape poverty

    Nakubali
Back
Top Bottom