Recent content by Phack

  1. Phack

    JamiiForums Tanzania Nafasi za field Tpdc

    Mkuu hawa vijana wanahitaj msaada kama huwez kujibu you better stay cool
  2. Phack

    JamiiForums Tanzania Nimechaguliwa kusoma Automobile engineering ila sikuiweka kwenye machaguo yangu

    Mm n muhitimu ie Automobile Engineer. N course Nzur sana, Kwenye suala la michongo commitment zako tuh ila am really enjoying my professional. Huwez kufikiria kuajiriwa
  3. Phack

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natamani kupenda tena

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  4. Phack

    JamiiForums Tanzania Pwani: Askari Wawili wa Usalama Barabarani wauawa kwa kupigwa risasi Kibiti

    Ni balaa kubwa sana kuwatoa wanafunzi Form 6 na kuwapeleka Jkt after that unamnyima mkopo kusoma chuo Kisa budget ndogo na Pia wale wanaotoka Jkt bila kupata ajira nahic n tatizo kubwa San maana mtu anaweza kupata kushawishiwa na kitu kidogo San na kujiunga na makundi yasiyosahihi. N vyema Gvt...
  5. Phack

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata wauzaji wa mayai ya kisasa kwa bei ya jumla.

    Mkuu kama hujapata Njoo Pm
  6. Phack

    JamiiForums Tanzania Mayai ya Kisasa Yanapatikana

    Habar Wakuu Mayai ya kuku wa Kisasa Yanapatikana kwa bei 7000/= site ( Site yetu ipo KITUNDA) ni mpya na mzigo tunazalisha Wenyewe but kwa wale wa maeneo ya Mbez beach maeneo ya karib Yanapatikana Bonden 7500/=. Hizi bei zetu n fixed 7babu Chakula cha kuku kimepanda sana that's bei nazo zikapanda.
  7. Phack

    JamiiForums Tanzania Kitanda na godoro kinauzwa, Msewe Golani, Dar

    Za Kiarabu February tunaanza after that kichina [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  8. Phack

    JamiiForums Tanzania Toyota starlet new model no DDR inauzwa

    Namsaidia jamaa kutuma picha ya Starlet yake [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  9. Phack

    JamiiForums Tanzania Toyota starlet new model no DDR inauzwa

  10. Phack

    JamiiForums Tanzania Electrical technician

    Kama hujui ilipo Npm
  11. Phack

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kitanda, godoro, Sofa, Pasi, Feni, king'amuzi DStv

    Mkuu no yako haipatikan Hiyo sofa kama bado unayo Njoo Pm nikupe details vzr uchukue hellah
  12. Phack

    JamiiForums Tanzania Fundi wa kujenga nyumba mzuri kwa bei nafuu mwanza anahitajika

    Kama bado hujapata nipm nikupatie fundi mzur Mkuu
  13. Phack

    JamiiForums Tanzania Natafuta hostel maeneo ya Ubungo, Mwenge, Survey au Sinza

    Nenda landmark hotel imekua Hostel
  14. Phack

    JamiiForums Tanzania House4Rent Njoo chukua ofisi fasta upige kazi acha kulalamika hovyo....!

    Fan 100,000/# Duh
  15. Phack

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya nyumba au chumba cha kupanga Mwenge, Sinza, M/nyamala na Mbezi

    Me nahitaji tankbovu Au bonden single room lkn isiwe mbali na barabara, kama ipo Njoo Pm
Back
Top Bottom