Wapi naweza kupata wauzaji wa mayai ya kisasa kwa bei ya jumla.

DiasporaUSA

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
22,936
2,000
Naomba kwa anayejua, anijulishe wanakopatikana hao wauzaji. Nipo Tabata Bima.
 
  • Thanks
Reactions: MC7

Tayukwa

JF-Expert Member
Dec 11, 2014
1,221
2,000
Kuna sehemu nyingi wanazouza mayai lakini kwa msaada fika mbagala maeneo ya kanisani karibu na round about ya barabara ya Charambe muda ni saa12- saa2:30 asubuhi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom